Recent content by kingzard

  1. kingzard

    JamiiForums Tanzania Pi Coin ni Utapeli: Jinsi Inavyotumia Matangazo Kujipatia Kipato Kutoka kwa Wafuasi Wenye Imani

    Sijajihusisha na coin hii. Ila niseme tuu ulichokiandika ni upotoshaji na wewe pia kukosa maarifa
  2. kingzard

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Kwaio cha kufanya apone kabisa na kuzuia asiendelee kua carrier ni nini
  3. kingzard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la ng'ombe kupepesuka na kutoa udenda anapolala

    Arusha.. Lengijave na ngikaret
  4. kingzard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la ng'ombe kupepesuka na kutoa udenda anapolala

    Shukrani kiongozi.. Nitakuja na mrejesho
  5. kingzard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la ng'ombe kupepesuka na kutoa udenda anapolala

    Sijakuelewa boss
  6. kingzard

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    #1 Habari wakuu Mimi ni mfugaji wa naombe nilipata changamoto wa ngombe wangu kufa kwa tatizo la kutokula na kutoa udenda pia anapepesuka akitembea.. Baada ya kufa alipasuliwa tumbo na kukutwa na maji tumboni na nyongo yake ni kubwa sana na nyeusi sana pia Baada ya siku tatu tatizo likaanza...
  7. kingzard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la ng'ombe kupepesuka na kutoa udenda anapolala

    Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa naombe nilipata changamoto wa ngombe wangu kufa kwa tatizo la kutokula na kutoa udenda pia anapepesuka akitembea. Baada ya kufa alipasuliwa tumbo na kukutwa na maji tumboni na nyongo yake ni kubwa sana na nyeusi sana pia. Baada ya siku tatu tatizo likaanza kwa...
  8. kingzard

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ndio nimeyapata na sina haja ya kukujib kila kitu ulikiona . Atukati tamaa nafasi kubwa bado iko ya kurekebisha makosa
  9. kingzard

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kesho mda kama huu nitaakua na cha kukujibu
  10. kingzard

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Punguza makasirikio Arteta na edu ndo wanaifahamu arsenal kuliko tunavoijua sisi..
  11. kingzard

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Wakuu nina kondoo wangu anakohoa sana wakati wa usiku.. Ila mchana anakula vizuri na wenzake Tatito litakua ni nini
  12. kingzard

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ndo kitu ambacho chelsea saivi wanachofanya Ila itakuja kuwakosti sana mbwa hawa
  13. kingzard

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Fact kabsa
  14. kingzard

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    🤣🤣😂😂 Nimecheka kwa nguvu sanaa
Back
Top Bottom