Recent content by KINGSLEE

  1. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

    MADA NZURI SANA NINA SWALI LA NYONGEZA... Ivi AFISA MWENYE NYOTA 3 Katika taasisi zifuatazo. A) TANAPA B) TAWA C) HIFADHI YA NGORONGORO Wote hao wakiwa sawa kwenye Vyeo yani Nyota 3. Je Maslahi yao ya Kiutumishi yapo sawa? Yani Mshahara, Na Incentives (Posho) a) Kama ni sawa ni kwanini? b)...
  2. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Serikali inaandaa Mradi wa kukarabati Shule zote kongwe Nchini

    Vizuri sana ila nashauri siyo Shule Kongwe tuh Pia Serikali iangaliye na zile shule ambazo zipo katika mazingira magumu sana kwa wanafunzi kuweza kupata huduma ya Elimu. Ziboreshwe majengo yake, Vyoo nk.
  3. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Lijue jambo hili ambalo shetani analificha, linalofanya nchi hizi 5 kuwa na viwango vya juu vya amani na furaha

    Upo vizuri mtoa mada hongera sana kwa Ufafanuzi juu ya nchi hizo kuwa na alama ya Msalaba, Sina shaka na hilo. Ukiingia kiimana umesema Msalaba unamaanisha kuyaenzi maadili ya Kikristo ambayo yanasema Yesu alisulubiwa na kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu ili wapte kuokolewa na...
  4. KINGSLEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwa kwenye maandalizi ya tendo, manii zinatoka na hamu ya kuendelea na tendo inakata kabisa

    Mmh! Sitaki lazima uniandae kwanza nirojeke ndipo uingize? Mweh! Sitak kuchubuka mm usije ukanipa maradhi
  5. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Hatimaye RunX imeingia Mwanza

    WW UNATAKA TULE ELA YAKE AKOSE ELA YA MAFUTA KURUD DAR:D:D
  6. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata review ya perfomance ya pikipiki ya sinoray cc180-18

    we umeambiwaje hapo juu? tumia akili siyo kwamba hizo pikpik za kampuni zingine ha kuziona amesema tujikite kwenye Sinoray tuh...
  7. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Mbona watu ni kama wamezikimbia Toyota Wish, ni issue ilio technical au ni trend tu

    Kama ishu ni idadi ya watu saba ni bora ninunuwe Mitsubish Outlander ya 2010/ Vanguard (7 sit)maana nitaweza kupita maeneo yenye ukorofi kidogo kuliko Wish.
  8. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

    mimi najikita zaid kwenye kilimo. Yani hapa chakufanya ni Practical Implemented/ itungwe sheria/mswada wa kudiscourage kuuza Raw-material nje ya nchi( refer. Magufuli alikataa kuuza mahindi nje badala yake tuuze unga) badala yake tuuze FINAL PRODUCTS kupitia sheria hii tuweke mazingira rafiki (...
  9. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Kutumia Spare Parts Feki? Unacheza na Usalama wa Gari Lako

    SHOGA YANGU AMNAMILIKI DUALIS NA ANATAKA KUWEKA TAA ZA BUSTA KWENYE GARI YAKE NA KUFUNGA ANDROID AFURAHIE MAISHA. NAFKIR UZI HUU UTAMFAA KABISA ;) ;)
  10. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Caterpillar, Komatsu, Volvo, JCB na Hitachi umeanguka. Kwenye heavy machines Mchina kapindua tena meza

    sory picha ya hizo gari/mashine zao iko wapi tulinganishe na hizo bidhaa za zamani ili tuone ubora wa Mchina Vs Mjapan kwa heavy machines
  11. KINGSLEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kuanza kuishi na mwanamke ghetto nimeanza kupendwa na wanawake wengine

    Dah! Jirani ndio umeamua kuja kunisema huku;););)
  12. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

    WACHA MVUA INYESHE TUONE PANAPOVUJA:D:D:D:D:D
  13. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kuchelewa kufika kileleni

    hahahhaaa yani kuna vijana wa hovyo kabisa. wanawake tupo wao wanapiga punyeto
  14. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    naenda kumnunulia Mr halafu nitaleta ushuhuda hapa
  15. KINGSLEE

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kanichania huyu bwege mkeka wangu wa 10m :D :D :D :D
Back
Top Bottom