sinyora
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 972
- 1,640
Wewe huyo🙂😄 kwenye ubora wakoIla sensor ziko sawa ukiona hivyo, wanaotupa tabu ni wale wenye vinu used pro max 😂😂😂 inabidi tugeuke waganga wa kutest mitishamba mbali mbali ili kuendana na kasi ya mlimbwende!
Maana unaweza shangaa una end trip af abiria bado anataka trip iendelee!