Recent content by Kingo Janta

  1. Kingo Janta

    Naona kama hatma za watu zilishatengenezwa toka uumbwaji wetu

    Unapo Amua kumsaidia mtu we saidia tu.. Lakini hizo pigo town ndo mishe zao.. hapo mpaka jioni Ana mzigo wa maana
  2. Kingo Janta

    Nimekuta kifaa hiki kwa dada wa kitanga. Kazi yake ni nini?

    Duuh Kweli korodani sio mzigo..
  3. Kingo Janta

    Mbona matangazo ya watu kupotea hasa vijana wa kiume yamekua mengi? Au ni mimi ndiyo naona

    Nikama kusikiliza matangazo ya vifo redioni ndo utajua kila siku watu wanakufa... So hayo matukio yapo
  4. Kingo Janta

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Kivyovyote vile huyo jamaa hatokuacha salama.. kiufupi jiandae kuliwa jicho
  5. Kingo Janta

    Baada ya BRT kukosa mabasi mradi wa Mbagala waanza kuchakaa kabla ya uzinduzi pamoja na kwamba umekamilika kwa 99.9%

    Barabara zimekamilika ila nashangaa zile taa za barabarani usiku hawaziwashi..
  6. Kingo Janta

    Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Tuanze na kwako.. Wewe unafanya kazi gani kwanza?
  7. Kingo Janta

    Zahoro matelephone

    Watu wanapigwa sana.. Jamaa ana smatphone hadi za elfu 70..
  8. Kingo Janta

    JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    Umeingia JKT una miaka 25 ukatumikia JKT miaka miwili.. 26-27 ukamaliza ukarudi mtaani, Ukakaa mtaani miaka 3 Jumla ni 30 Ajira inataka 18-26 Bongo kweli Nyoso
  9. Kingo Janta

    Wasanii kizazi kipya hawana misingi ya heshima?

    Dj steve B anaugua nini? Siku hizi hayupo clouds?
  10. Kingo Janta

    Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

    Huyo mwanamke ni malaya.. wachezaji wanawagonga sana madem wa dzain hyo kila timu ikisafili kwenda mechi za mikoani wanawachukua wanasafili nao
  11. Kingo Janta

    Wanamuziki wa Tanzania waliotazamwa zaidi Youtube Novemba 2022

    Ni mtanzania ana wimbo wake unapendwa sana huko uzunguni
Back
Top Bottom