Recent content by kingmpk

  1. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga: Kama mpangaji hayupo kwa muda mrefu asilazimishwe kulipia huduma ambazo hajazitumia

    Actually ninapo kaa kila mtu analipa kukingana na matumizi yake.
  2. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga: Kama mpangaji hayupo kwa muda mrefu asilazimishwe kulipia huduma ambazo hajazitumia

    Me nazani solution ni kila chumba kuweka meter ya kupima matumizi. Patakua hapana ugomvi.
  3. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Mtatiro J kuhusu ATCL kujiendesha kwa hasara

    Uchambuzi ni mzuri sana. But ni sawa na kumwambia mlevi atunze Pesa yake atakua tajiri... Vipi katiaka kuanisha faida na hasara ungefanya mchakato WA kukusanya data zote, makusanyo na matumizi ili tujue kiasi kilichoingia na kitokacho...
  4. kingmpk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania wants kenya to pay kshs2.3 billion uchumi supermarket debt

    You never know what happened during the signing of business contract. Do you think Tanzanian is banging in wrong door.? Why not Uganda, Burundi or Rwanda... Why Kenya. Think twice.
  5. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Kakobe: JK Kavuruga Mchakato wa Katiba, amtaka aombe radhi

    Kasema yeye ni Tajiri kuliko Tanzania!! Bado najiuliza utajiri wa tz tulionao, kakobe has got everything. Hivi kakobe anautajiri wa shilingi ngapi?
  6. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Hivi style ya 'kikaptula' ya wanaume wa siku hizi imekaaje?

    Mimi nazani kwa hapo pana kitu. Na pia ilibidi wajue inapendeza zaidi ukiwa na usafiri wako.
  7. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

    Ye anataka afikishwe vipi yani? Nnachojua wanawake waliowengi, kufikishwa kwao ni kwa sababu wanafananisha na wadau wengine.
  8. kingmpk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huruma yangu imepungua kwa kiwango kikubwa tangu nimalize chuo

    Umekua.
  9. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nilimpa mimba mke wa mtu, mtoto amefanana sana na mimi, nitampataje?

    Kisha jua kwamba si wake. We mfwate TU. Hapo ukifwata sheria tunakukata kichwA.
  10. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Jinsi Maigizo ya Dr. Tulia Ackson yalivyogonga mwamba Rungwe

    Mimi sijaafiki juu ya hilo.
  11. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Serikali imekosea sana kuruhusu uuzwaji wa mahindi nje ya nchi

    Acha yauzwe, tutafute njia mbadala ya ku overcome majanga ya njaa.
  12. kingmpk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawajui kufanya mapenzi ila wanachofanya ni kubaka wapenzi wao

    Je ni wanaume pekee, wanao force king? Aje kama Jamaa ako aendekezi issue za gudude? Kwani wanawake hamnaga hamu ya gudude? Na kama kweli hamnaga what about vidude vyetu vya kuchonga kwenye makabati yenu?. Mimi siamini kama mtoto wa kike anabakwa pale endapo kaamua Kua na mtu flani. Kuna...
  13. kingmpk

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

    Dogo piga kitabu. Ada hupewi wewe. Inapewa shule. We tengeneza budget ya kumaliza semester. Bumu, bumu, nime limisi kweli kweli.
  14. kingmpk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mpenda sherehe

    Hapo sasa.
Back
Top Bottom