Wakuu salam,
(Kingmaja)
Naombeni ushauri wenu utanifaa sana maana niko kwenye wakati mgumu. Nina tatizo la kuchelewa au kutofika kabisa kileleni ninaposhiriki mapenzi. Ndani ya wiki mbili hizi nimegegeda Mara tatu lakini hakuna wazungu kabisa mpaka bi dada anagoma kuendelea na show.
Siku ya...
Wakuu salam,
Naombeni ushauri wenu utanifaa sana maana niko kwenye wakati mgumu. Nina tatizo la kuchelewa au kutofika kabisa kileleni ninaposhiriki mapenzi. Ndani ya wiki mbili hizi nimegegeda Mara tatu lakini hakuna wazungu kabisa mpaka bi dada anagoma kuendelea na show.
Siku ya kwanza...
Wakenya tuko nateseka na corona imebamba kila kona please dua zenyu ni muhimu mazee.
Tuko na viongozi wajinga sana huku,bora yenyu Tanzania nakuja chukua citizenship mazee.
Yaibuka Vijana Waliotumika Kupanga Ghasia Za Kenol Waliahidiwa Sh500
Na. Majaliwa Abdulkadli Amran
VIJANA waliotumiwa na wanasiasa wa mirengo ya Tangatanga na Kieleweke mjini Kenol, Kaunti ya Murang’a Jumapili iliyopita walikuwa wameahidiwa kulipwa kati ya Sh500 na Sh1,000, wapelelezi...
Na Majaliwa Abdulkadli Amran
MIKOPO tele iliyochukuliwa na serikali kwa miaka michache iliyopita, sasa inaweka Kenya katika hatari kubwa ya kuzama kiuchumi kupitwa na Tanzania.
Wakati huu wa janga la corona, Kenya ni miongoni mwa mataifa yanayoathirika sana kiuchumi.
Kwa msingi huu, wataalamu...
Oct 03, 2020
UTEUZI WA WANAJESHI SERIKALINI WAZUA TAHARUKI
HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta kukabidhi wanajeshi usimamizi wa idara na mashirika ya kiraia imezua hofu ya kuchochea utawala wa kidikteta nchini.
Lakini kwa upande mwingine kuna wachanganuzi wanaounga mkono hatua hiyo wakisema kutumia...
Polisi Wazima Mkutano Wa Mudavadi Mjini Mbale
NA DERRICK LUVEGA
KINARA wa chama cha Amani National Congress (ANC) Bw Musalia Mudavadi alilazimika kuhutubia wafuasi wake kando ya barabara mjini Mbale, Kaunti ya Vihiga baada ya polisi kufunga uwanja wa Idavaga ambapo mkutano wa kisiasa wa vijana...
Sisi tupo Wakenya ni masikini sana nashangaa sana Wakenya wezangu humu wako wanajisifia tajiri kumbe hamuna kitu.
Kwenye fact acha tuseme kweli toka ashike power Magufuli naona TANZANIA iko mbele yetu na soon itatuacha mbali.
I wish Kenya tuko na Magufuli.
All de best Tanzania na leaders...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.