Nina tatizo la kuchelewa kufika kileleni

Kingmaja

Member
Sep 15, 2018
68
109
Wakuu salam,

Naombeni ushauri wenu utanifaa sana maana niko kwenye wakati mgumu. Nina tatizo la kuchelewa au kutofika kabisa kileleni ninaposhiriki mapenzi. Ndani ya wiki mbili hizi nimegegeda Mara tatu lakini hakuna wazungu kabisa mpaka bi dada anagoma kuendelea na show.

Siku ya kwanza nimegegeda kwa masaa mawili mashine bado inadai, mechi inaisha saba bila godoro halifai limeloa haswa. Mara mbili za mwisho nimepiga karibia lisaa na nusu hakuna maajabu godoro kama kawaida nitalala chini.

Hii hali inanichanganya sana nisaidieni maana bi dada anataka biashara yetu iishie hapa mimi bado nampenda. Niweke wazi nilikua mdau wa chaputa ingawa nimerudisha kadi muda mrefu. Kwa sasa nimekwama wadau nisaidieni.

Natanguliza shukrani
 
pole sana ..waone wataalamu wa afya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom