Viganja vya mikono na miguu kuwa vya baridi

Malyakishu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,354
Samahani wakuu naomba kuuliza kuhusu tatizo la viganja vya mikono na miguu kuwa vya baridi hata wakati wa joto la kawaida .
je hilo nitatizo?au ni hali ya kawaida? Kama ni tatizo tiba yake ni nini?
 
Umejuaje, tuanzie hapo kwanza wakati tunamsubiri Joseverest
 
Hata mimi viganja vyangu vya mikono vinakuwa kwenye hali hiyo...labda damu zetu za baridi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sijajua labda wajuzi watujuze
 
Samahani wakuu naomba kuuliza kuhusu tatizo la viganja vya mikono na miguu kuwa vya baridi hata wakati wa joto la kawaida .
je hilo nitatizo?au ni hali ya kawaida? Kama ni tatizo tiba yake ni nini?
Aisee,umefanikiwa tatizo hili? Nijuze bwana nami nasumbuliwa
 
Back
Top Bottom