Madiwani wawili kupitia chama cha chadema ktk manispaa ya shinyanga wameamua kurejea katika chama chao huku wanachama wakiwa hawawataki wakidai kipindi wana hama walikidhalilisha chama, walikisaliti na bila kuona aibu walichoma na gwanda za chadema. sasa wanafuata nini? Walipopewa fursa ya...
Siku zote nikiingia jamvini na kuta hoja zimetolewa. Ila ukiangalia wachangiaji wengi wanachangia kwa:-
1. Matusi. Hutukana badala ya kukosoa na kuelimisha.
2. Udini. Wengi hutusi, kudhihaki,kukejeli dini fulani hali ya kuwa hajui hata kama unamlenga fulani ukisha gusa imani fulani umesha...
Madereva wa magari yanayosafilisha mizigo wamegoma na kupanga magari yao barabarani na kupelekea abiria wa mabasi kuwepo bila matarajio ya kuondoka.
Madereva hao wamefikia hatua hiyo baada ya jana mida ya saa 2 usiku kutekwa, kunyang'anywa pesa, kumtoboa macho dereva mmoja, kumkata mguu mmoja...
Imekuwepo kuripotiwa
vibaya tukio hilo na
baadhi ya vyombo vya
habari mf. RFA tar 17 ktk
kipindi cha matukio
waneripoti kua mwili wa
marehem umekutwa juu
ya kaburi. Ukweli ni huu
hapa '' tar 12 usiku wa
kuamkia tar 13 kijana
JUMA UHURU mauti
yalimkuta ktk hospitali ya
mkoa wa KIGOMA...
Imekuwepo kuripotiwa vibaya tukio hilo na baadhi ya vyombo vya habari mf. RFA tar 17 ktk kipindi cha matukio waneripoti kua mwili wa marehem umekutwa juu ya kaburi. Ukweli ni huu hapa '' tar 12 usiku wa kuamkia tar 13 kijana JUMA UHURU mauti yalimkuta ktk hospitali ya mkoa wa KIGOMA Maweni...
Inamaana bara hakuna waisilamu! Au hakuna shekh aliyekwisha pata hayo maji makali? Mbona hatukusema zenji si salama kwa waislamu? Tumia akili wewe, sio uwe unachangia kama unakunya kaharo!
Ama kweli CCM ni watu wa DILI FEKI. Nasema haya kwa ushahidi huu:-
1. Pikipiki zilizo gawanywa jana ni mbovu. Jana hiyo hiyo zilianza kufikishwa kwa mafundi mara kabyureta mara pancha. Mf. Jirani ya staff bucha kuna mafundi pikipiki, hapo alikuja kada mmoja huku pikipiki yake ikisukumwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.