KINGKOMANDO
Member
- Jan 4, 2013
- 22
- 2
Siku zote nikiingia jamvini na kuta hoja zimetolewa. Ila ukiangalia wachangiaji wengi wanachangia kwa:-
1. Matusi. Hutukana badala ya kukosoa na kuelimisha.
2. Udini. Wengi hutusi, kudhihaki,kukejeli dini fulani hali ya kuwa hajui hata kama unamlenga fulani ukisha gusa imani fulani umesha wakera wa dini hiyo. Mwingine anatumia kivuli cha chama fulani kuchafua chama kingine kwa misingi ya dini.
3. Kuwa na tamaa ya pesa zaid kuliko uaminifu hususan viongozi.
4. Kuto tafuta ukweli ktk taarifa zinazo itwa tetesi. Hivyo kuua chama.
Je, kwahali hii tutaweza kuwaondoa mafisadi madarakani haliyakua ndani yetu tuna chuki, husuda, fitina, hatuaminiani n.k?