KINGKOMANDO
Member
- Jan 4, 2013
- 22
- 2
Imekuwepo kuripotiwa
vibaya tukio hilo na
baadhi ya vyombo vya
habari mf. RFA tar 17 ktk
kipindi cha matukio
waneripoti kua mwili wa
marehem umekutwa juu
ya kaburi. Ukweli ni huu
hapa '' tar 12 usiku wa
kuamkia tar 13 kijana
JUMA UHURU mauti
yalimkuta ktk hospitali ya
mkoa wa KIGOMA Maweni.
Tar 13 saa kumi alaasiri
baada ya swala yalifanyika
mazishi yake ktk makaburi
ya kijijini kwao jirani na
soko au chini ya lililokua
eneo la ACTION AID. Tar
15/1/2014 asubuhi
KABURI LAKE LILIKUTWA
UDONGO UMETOLEWA
MPAKA ENEO LA
MWANANDANI SEHEM YA
MIGUU MABANZI KAMA
MANNE YAMETOLEWA
UKUTANI MWA KABURI
KULIKUTWA ALAMA YA
MAKALIO YA WAHALIFU
HAO. WALICHOFANYA NI
KUISHIKA SANDA NA
KUIVUTA MPAKA KUMVUA
MAREHEMU NA KUONDOKA
ZAO. Hivyo mwili ulikutwa
upo wazi sehemu za
miguuni ndani ya KABURI
na sio JUU kama
ilivyoripotiwa na vyombo
vya habari. Baada ya hapo
ilinunuliwa sanda
nyingine yakatolewa
mabanzi yote
ukazungushiwa mwili wa
marehem mabanzi
yakawekwa juu badae
majani halafu udongo
kurudishwa tena na kuwa
tena kaburi. Mungu
mrehem marehem wetu
na umfutie dhambi zake.
vibaya tukio hilo na
baadhi ya vyombo vya
habari mf. RFA tar 17 ktk
kipindi cha matukio
waneripoti kua mwili wa
marehem umekutwa juu
ya kaburi. Ukweli ni huu
hapa '' tar 12 usiku wa
kuamkia tar 13 kijana
JUMA UHURU mauti
yalimkuta ktk hospitali ya
mkoa wa KIGOMA Maweni.
Tar 13 saa kumi alaasiri
baada ya swala yalifanyika
mazishi yake ktk makaburi
ya kijijini kwao jirani na
soko au chini ya lililokua
eneo la ACTION AID. Tar
15/1/2014 asubuhi
KABURI LAKE LILIKUTWA
UDONGO UMETOLEWA
MPAKA ENEO LA
MWANANDANI SEHEM YA
MIGUU MABANZI KAMA
MANNE YAMETOLEWA
UKUTANI MWA KABURI
KULIKUTWA ALAMA YA
MAKALIO YA WAHALIFU
HAO. WALICHOFANYA NI
KUISHIKA SANDA NA
KUIVUTA MPAKA KUMVUA
MAREHEMU NA KUONDOKA
ZAO. Hivyo mwili ulikutwa
upo wazi sehemu za
miguuni ndani ya KABURI
na sio JUU kama
ilivyoripotiwa na vyombo
vya habari. Baada ya hapo
ilinunuliwa sanda
nyingine yakatolewa
mabanzi yote
ukazungushiwa mwili wa
marehem mabanzi
yakawekwa juu badae
majani halafu udongo
kurudishwa tena na kuwa
tena kaburi. Mungu
mrehem marehem wetu
na umfutie dhambi zake.