KINGKOMANDO
Member
- Jan 4, 2013
- 22
- 2
Imekuwepo kuripotiwa vibaya tukio hilo na baadhi ya vyombo vya habari mf. RFA tar 17 ktk kipindi cha matukio waneripoti kua mwili wa marehem umekutwa juu ya kaburi. Ukweli ni huu hapa '' tar 12 usiku wa kuamkia tar 13 kijana JUMA UHURU mauti yalimkuta ktk hospitali ya mkoa wa KIGOMA Maweni.
Tar 13 saa kumi alaasiri baada ya swala yalifanyika mazishi yake ktk makaburi ya kijijini kwao jirani na soko au chini ya lililokua eneo la ACTION AID. Tar 15/1/2014 asubuhi KABURI LAKE LILIKUTWA UDONGO UMETOLEWA MPAKA ENEO LA MWANANDANI SEHEM YA MIGUU MABANZI KAMA MANNE YAMETOLEWA UKUTANI MWA KABURI KULIKUTWA ALAMA YA MAKALIO YA WAHALIFU HAO.
WALICHOFANYA NI KUISHIKA SANDA NA KUIVUTA MPAKA KUMVUA MAREHEMU NA KUONDOKA ZAO. Hivyo mwili ulikutwa upo wazi sehemu za miguuni ndani ya KABURI na sio JUU kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari.
Baada ya hapo ilinunuliwa sanda nyingine yakatolewa mabanzi yote ukazungushiwa mwili wa marehem mabanzi yakawekwa juu badae majani halafu udongo kurudishwa tena na kuwa tena kaburi.
Mungu mrehem marehem wetu na umfutie dhambi zake.