Some people are smart; inawezekana jamaa alishakusanya kimyakimya alichovuna huko CTW saa hii yupo zake Boso anaendeleza maisha yake kwa utulivuuu. Najaribu kuwaza tu
Ukishakuwa mtumishi wa umma unaridhia miiko ya kiutumishi (codes of ethics) na unapaswa kuiishi, huwezi kuishi utakavyo na huwezi kuivimbia serikali ambayo hiyo hiyo ndiyo inakupa mkate.
Hivi kwa busara ya kawaida tu, unamtuma mwanao kazi ya nyumbani afanye anakukatalia halafu na majirani zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.