Recent content by kingfredson

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekuacha akazaa na mtu mwingine vs mwanamke mpya mwenye mtoto wa mtu mwingine

    Amuoe huyu wa pili ambae hajawai kuwa nae,,huyu kwanza hana msimamo na aonekana mwenye tamaa
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

    Eti hauwezi kurudiana nae lakini naomba yake umeshindwa kufuta ,,hivi uko serious kweli na moyo wako,hiyo sitaki nataka hiyo itakugharimu ,,kula kitu roho inapenda bwana
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

    Siku mmoja kila mtu apike chakula ..muanze kula chake halafu mmalizie chako ataelewa tu kw somo lake kapata F na lazima tu aombe tuition apo apo
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kumkiss mwanaume mwenzake

    Kwa hiyo nyie kukis ni sawa Ila wanaume wakikisi ni jinsia moja
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempenda shemeji yangu

    Mwambie kaka yako umempenda mke wake akuachie uzae nae
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kadogo, kazuri katamu Vs mtafutaji, mcha Mungu na mzembe wa kwichikwichi

    Naona huy mvivu kitandani anaweza kuwa mke Bora mana mana mapenzi mtu hujifunza mfundishe staili unazopenda na umwambie unapenda akufanyie nn mwapo six by six ,lakn mwisho wa siku Chagua mwenye sifa nying unazopenda mwanamke wa maisha yako awe nayo,kumbuka usiache ulichopenda maishani ghafla tu...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Kumbe wanajua kabisa ni pachafu lakn wanajishaua kuwa kupanua miguu na kusema "ingiza ulimi wote babyyyy ashhhhhh"""
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda ila hana hela, nahofia nyumbani kwetu watamkataa

    Shenzi sana wewe,,yani had hapo bado hujaona thaman yake,pamoja na elimu uliokuwa nayo lakn ulikosa kazi kijana wa watu kajitolea kakutafutia kaz ulivyo na roho mbaya sa hivi umeanza kumjadili kama anafaa au hafai hivi unakumbuka kweli ulipotoka ,,,namaliza kW kusema tena "" shenzi kabisaaaa""
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiolewe na mwanaume masikini

    Waweza kuolewa na mwanaume wa ndoto yako lakn ghafla bin vuuuuuuu.....no money tena msela ndii kafirisika nafkri ndoto zako zitakuwa zimeishia apo na inabd ulale tena uote mwenye ela mwngine...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kisasa na kutingisha makalio

    Makalio ya wanaume yanatikisika..na unatamani kweli kuyashika . we mgunduz maana umegundua jambo jipyaa ya,makalio ya wanaume
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya wanaume tuna roho za kishetani, leo mpaka nimetoa machozi kwa huyu dada

    Huyu jamaa alaaniwe zaidi ya shetani...lakn kweli huyu Dada kashindwa kufanya jambo kudai haki yake?..yani hii inasikitisha tena inasikitisha San.. Ningekuomba mtoa Uzi kwa vile we unamjua vzr jtaidi sana utoe msaada kw huyo dada jambo akomboe jasho lake..
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

    Yaan we umetoa laki tano kwa ajili ya K tu...kweli k sio mchezooo ......lakn brother hakuna hata ndugu yako aliekuwa na uhitaji wa ela kweli...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MADHARA YA KUPENDA KUPITA KIASI

    Wa kumpenda ni mama yangu tu...Mi cku izi tangu niwe na akili timamu sihangaiki kumpenda mwanamke mwingine kisa atanipa K..nikiktamani naomba papuchi napiga napitaa iv..ukininyima naenda naangalia mfupa mwingine ulonona ....
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikutaki, Mdomo wako na kwapa vinatoa harufu nisiyoipenda, cha mwisho napenda mwanaume mrefu

    Nilichogundua demu akikutaa kw dharau tafuta mwngne mkali zais yake.mna akikisha anakuona ukiwa nae lazm aisome namba kW eruf kubwa.. Ila cha kukushaur mkuu mle ukimchoka tupa kuleee
Back
Top Bottom