kingfredson
Member
- Jan 15, 2019
- 31
- 20
Mwambie kaka yako umempenda mke wake akuachie uzae nae
FafanuaKama ukimwona unafeel kutoa haja kubwa ...? Kama ndiyo Basi anakupenda.
Watu kana wewe wanastahili kufa, kuishi kwako ni hasara tuDaah! kumbe nimeamini love doesn't ask why yaani shemeji yangu nimetokea kumpenda kutoka moyoni Ila sasa ndio mke wa kaka yangu ntafanyaje
Nifiche hisia niendelee kuumia. Au nimwambie nijue kama na yeye ana hisia kama zangu
Na Kama tukipendana tutaonesha picha gani kwa jamii
#Iam Zagarino
Picha linaanza pale kaka ake kaiona meseji ya mtongozo...muandikie msg ya kumtongoza.
Napitia pitia makabrasha kabla sijalalaDaah! kumbe nimeamini love doesn't ask why yaani shemeji yangu nimetokea kumpenda kutoka moyoni Ila sasa ndio mke wa kaka yangu ntafanyaje
Nifiche hisia niendelee kuumia. Au nimwambie nijue kama na yeye ana hisia kama zangu
Na Kama tukipendana tutaonesha picha gani kwa jamii
#Iam Zagarino
Aisee sikushauri kaka!Daah! kumbe nimeamini love doesn't ask why yaani shemeji yangu nimetokea kumpenda kutoka moyoni Ila sasa ndio mke wa kaka yangu ntafanyaje
Nifiche hisia niendelee kuumia. Au nimwambie nijue kama na yeye ana hisia kama zangu
Na Kama tukipendana tutaonesha picha gani kwa jamii
#Iam Zagarino
Hama hapo kwa kaka yako. Ndio matokeo ya kula chakula kizuri wakati kazi huna, akili yote inawaza upoloto tu. Ondoka hapo kabla hujaondolewa kwa fedheha
Halafu mama D unanichokozaMara paaap mtoa maada ni mdogo wake funzadume
Sijui nini kingempata![]()

Hakika🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halafu mama D unanichokoza![]()