Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Peleka simu kwa mzazi wako au kwa kiongozi wako wa kiroho atakusaidia kufuta hiyo namba na hutamkumbuka tena.
 
Eti hauwezi kurudiana nae lakini naomba yake umeshindwa kufuta ,,hivi uko serious kweli na moyo wako,hiyo sitaki nataka hiyo itakugharimu ,,kula kitu roho inapenda bwana
 
Kupitia status zake, akipost kitu kizuri mpe pongezi pitia hapo kumueleza jinsi ulivyompenda ila yakatokea yaliyotokea, maisha lazima yaendelee nk itakupa nafuu ya sumbuko la moyo wako trust me, ila usirudishe mawasiliano ya karibu endapo atataka ku-take advantage ya kukiri kwako,
Noted mkuu
 
Bila Shaka mu wazima, naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano, lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake.

Lengo la kutofuta namba yake ni ili niwe nafuatilia status zake, but yeye hajui kama naziona, vilevile yeye pia hufuatilia zangu bila kificho.

Naomba mnisaidie nifanye nini, nimsahau huyu kiumbe, kumblock nilishajaribu lakini baada ya siku ile mbili namu unblock, lakini yeye Kila ninachoweka status lazima aview. Nahisi ameniroga maana siyo kawaida yangu hii.

Nb: Siyo mahusiano yangu ya Kwanza.
- Umri wetu tuko kwenye 29-34
Mbona kama codes zinataka kusomana
 
Bdo mnapendana sema wote mnajikutamewekeana ngumuu,ila ila akitoea wa kulianzisha mnaanza upyaaaa,mimi nlikuwa kweny hyo situation ila uzalendo umenishnda nkaamua kumtafuta kumbe na yy alikuwa na desire hyo!nakuhakikshia soon mtarudiana
Hii ni Kama tumeachana maana ,Ni mweZi was tano Sasa hatuna mawasiliano
 
Kwenye maisha jifunze kuwa na maamuzi magumu ila yawe sahihi. Ukilielewa hili utakuwa na uhuru wa kufanya maamuzi sahihi, imma yawe yako binafsi au ya jamii.
 
Shida ni kwamba wapenzi wanapogombana na kuachana kila mmoja anaweka taswira ya uadui dhidi ya mwenzie.....unapoijenga taswira ya uadui kwenye fikra zako unafanya nafsi yako ijiweke katika katika hali ya tahadhali......kwa hiyo lazima nafsi yako impe special treatment yule unayemchukia ili kuweza kukabiliana na hatari itakayojitokeza.....na hapo ndipo zinazaliwa fikra za kudumu juu ya mtu huyo na kujiweka kwenye kifungo cha kudumu cha nafsi.........
Thatz a reality,mfano tumekosana,ila mwsho nikaona nmekukosea sanaa na kuona n bora niombe msamaha kwa nliyokukosea,ila ukakataa kunisamehe huwa naami uliekataa msamaha ndo utakuwa unateseka cku zote cz me itakuwa na amani moyon
 
Kumbuka na yeyehajafuta namba yangu lakini hatuongeleshani wote, Mara ya Kwanza birthday yangu ndo iliturudisha katika mahusiano, aliniwishi heri ya kuzaliwa nikamjibu na zawadi juu basi tukarudisha mawasiliano, Sasa ninaona karibia siku yangu inafika asije akatumia njia hiyo tujarudiana
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Shogaaa angu vipi mbona cheko kubwa🀣
 
Finally nimeweza msahau wapenziii now am happy ❀️
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom