Nimetoka mwanza Desemba 2024 kwa kweli CBD hususan mitaa ya lumumba,Karuta, Pamba na Rwagasore kuna majengo marefu mengi yanajengwa nadhani shida itakuja kuwa parking watu ni wengi na magari ni mengi sana
Dodoma CBD inajengeka lakini si kwa kasi kama Mwanza nadhani tatizo Dodoma wanategemea...
Mkoa wa Tabora naona unakaribia wote unakarbia kumilikiwa na wasukuma ingawa wanyamwezi na wasukuma ni ndugu.
Nimepita Katavi,Kigoma,Lindi na Wilaya ya Tunduru Ruvuma napo muda si mrefu patakuwa na idadi kubwa ya Wasukuma
Wengi hawajawahi kufika Mtwara na wanachanganya Lindi na Mtwara.
Mji wa Lindi kwa kweli haujachagangamka ila Mtwara nadhani ni Manispaa inayokuwa kwa kasi ulinganisha na baadhi ya Manispaa tena hapo baada ya shughuli za gesi kukimbiziwa Dar.
Kama vile viwanda vilinvyotumia gesi vingejengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.