Recent content by kingdid

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

    Huo wimbo wenyw wa kutekwa ni wa mapenzi sasa alichokifikisha kwa hadhila ni kipi hapo mkuu?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

    Usitupange wewe sisi hatuna akilibkama zako, ben pol kafanya unanga, kwani kutekwa hadi uwe uchi na upakwe wese? Au wimbo unasema alitekwa kisha akabakwa?,,,,....tumia akili sio ushabiki na mihemko
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

    Sasa mkuu wewe ndo nomekuelewa acha huyo kolo aliyelalamika tu na pumba zake
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

    Umelalamika tu hujatoa point yq maana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Dhambi hatuwezi kuipa jina zuri na baadae tukaitukuza

    Mkuu umejitahidi sana kutia na kiingereza inaonesha umesoma na elimu imekufanya uwe critical thinker ila point yako ya msingi sijaiona hasa kwenye aya ya mwisho umelalamika tu, huyu mtu anaebakwa si kuna sheria za kumlinda? Maana yangu kubwa kwamba aliyepewa mimba kwa kubakwa na akithibitika...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na watu wachache wanaomsuport North korea

    US pia tunahitaji uzi wake sio unaandikia mahaba yako binafsi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na watu wachache wanaomsuport North korea

    Mkuu hujatoa hoja za maana unelalamika tu hebu subiri viroba viishe kichwani mwako kisha njoo na point za kueleweka
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. K

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hahahahahaaaaaaaa mashabiki wa barca wameshaanza kupoteana humu na maneno ya kwenye kanga
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nauona mwisho wa Kim , North Korea, je atanyongwa?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa wanaJF ambao tuna imani kubwa na ushindi wa North Korea

    Me ni team NK mapema sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Wanatuelewa lazima wacheze kwa adabu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini Leicester City wanaenda kuchukua UEFA champions league msimu huu

    Viroba vimepigwa marufuku, we mwenzetu unavipata wapi?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Wana madrid tulieni sisi hatutotia aibu kama majirani zetu wa jana
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hizi story za kupotea kwa roma na wenzake tuziangalie kwa jicho la tatu

    Ikitokea hiu kuwa ni kweli mkuu utatueleza nn humu?
Back
Top Bottom