nchonga aliyebaki
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 574
- 833
Kwa jinsi mambo yanavyoendelea , huyu Kim wa Korea atakuja kujutia kwa kuwa kichwa ngumu,
Sababu za kwanini nauona mwisho wa kimu, zipo sababu kuu nne
1. Wanorth Korea wamechoka na utawala wa kurithishana nchini Korea , suala ambalo wanalalamika chini chini tu, wanahofia maisha yao wakisema hadharan, wabasubiri any battle against north Korea iwe starting point ya kuanza revolution, na ni kweli japo hawapendi vita yaan RAIA wa kawaida ,lakin NATO , wako likely kunshambulia mda wowote kuanzia kesho usiku,
2. Uwezo wake kukabiliana Na NATO, ni Mdogo sana , anatishia kuwa Na silaha za hatari sawa anaweza kuwa Nazo, ndivyo anawafanya watakaomkabiri watumie nguvu Kali sana,
Kitu ambacho kitairudisha Korea nyuma kimaendeleo sana,
3. Ardhi itakayotumika kwa battle ni ya kwake Mwenyewe, ataishia kukamatwa Na kunyongwa, kama walivyonyongwa Gadaffi Na SADAM R.I.P
4. China ndo alikuwa mshirika mkubwa wa north Korea, lakin China kashaanza kulegea kidogo kidogo Na kuanza kuicheza ngoma ya America, Na kukubali masharti ya ushirika wa kuivamia Na kuiwekea vikwazo korea kaskazin,
Maana asilimia Kubwa ya ushirika wa kibiashara na uwekezaji 70% inatoka China (Hong Kong) kwenda Korea direct, rais wa China akishirikiana Na kiongozi mwandamizi wa hong Kong wamekubali kutoendelea kumpa msaada Korea
Kuhusu uwezo wa vita ki silaha na technology Korea Na marekani wote wako vizuri lakin , suala la kutengwa Na wengine litamuyumbisha Korea,
Karibu wabobezi wa masuala ya kimataifa kujadili