Mm nimekaa nikatafakari kuhusu hili sakata la kutekwa nyara kwa roma na wenzake linanipa ukakasi na mashaka kabisa juu yake.....nahisi ni usanii fulani apa unatumika watu wapate attention either hawa waliotekwa au aliyewateka au kuna mchezo hapa tunachezewa kabisa......siyo kwa nia mbaya ila inabidi tuliangalie kwa jicho la tatu tusije tukaingia wote mkenge..!!!