Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Half time
Bayern 1-0 Real Madrid
Bayern 1-0 Real Madrid
yaan pale alikuwa ana tunyonga live huyu jamaaNashangaa refa katoa na yellow card.
Hii game bado ni 50/50, nilikuwa ninaogopa sana, ila nimegundua Bayern watuhofia pia!!
Refa nusura atuumize na penalty yake fake, ila bado tupo alive kwnye hii game, [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]. [HASHTAG]#APorLaDuodecima[/HASHTAG]
eeehHii game bado ni 50/50, nilikuwa ninaogopa sana, ila nimegundua Bayern watuhofia pia!!
Refa nusura atuumize na penalty yake fake, ila bado tupo alive kwnye hii game, [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]. [HASHTAG]#APorLaDuodecima[/HASHTAG]
yaan pale alikuwa ana tunyonga live huyu jamaa
Bale simuoni leo sjui kaenda wapWrong decision... But justice is served. Tunatakiwa kufunga magoli kwenye kipindi hiki cha pili.
Wanatuelewa lazima wacheze kwa adabueeeh
nimeona Bayern wana tuheshim kwa kweli