Recent content by Kingcrazy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kumjua mwenza sahihi

    ndio tulishaachana bila ata sababu tukajikuta tumeacha tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kumjua mwenza sahihi

    Dunia inambo haya nipe jibu la 5+7+7÷9=? Nini tafsiri ya jibu la ndoa maana sio kila majina yataangukia ktk namba zako mengine yanatoa na pointi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo Cha ajali kwenye hii picha

    Hapo kati panogea
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtihani mgumu

    ukifikiria kwa kuiangalia picha unaweza ukotoa maelezo mepesi ila ukiingia deep zaidi picha imebeba ujumbe mzito hasa kwetu sisi watu wa hali ya chini some time njaa zinafanya watu wachini tukashindwa kuzifungulia milango fursa zinazofika milangoni mwetu kwa sababu ya njaa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake, sio kila mwanaume anayekupa msaada anakutaka kimwili

    Imani ni neno dogo ila lina wigo mpana sana ndio maana ni vigumu kumtoa mtu ktk imani yake vigumu sana
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake, sio kila mwanaume anayekupa msaada anakutaka kimwili

    Hii imani ndiyo inayofanya mjirahisishe but sio kwa wanaume wote hutoa misaada kwa kuwa na hidden plan wengine hutoa msaada kama msaada na sio wanawake wote ukimsaidia hujirahisha ila 95% hupokea msaada kwa mtazamo hasi kutoka kwa mtoa msaada
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake, sio kila mwanaume anayekupa msaada anakutaka kimwili

    nikisaidia mwanaume hajawahi nitega ila baadhi ya boy na nyie sio poa mtu akikusaidia akitoka uliponasa unataka kumpiga kofi sio poa eti
  8. K

  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake, sio kila mwanaume anayekupa msaada anakutaka kimwili

    leta hitaji lako na uthibitisho upate msaada
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake, sio kila mwanaume anayekupa msaada anakutaka kimwili

    Kwanini wanawake wengi mkipewa msaada na mwanaume akili zenu huwa mnaupokea msaada tofauti na makusudio ya mtoa msaada. Mara kadha nimekua nilishuhudia au kuwa Muhanga wa kubadilishiwa malengo ya msaada kwa wanawake Mara nyingi nimekuwa nikiwasaidia wanawake kwa nia ya kutoa msaada wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

    Inamaana Z. Kabwe na F.Mbowe kurudi mjengoni mpaka wakubali kuchomolewa ubongo na kupachikwa ubongo wa kijani
  12. K

    JamiiForums Tanzania New member

    Naomba kujitambulisha kama mgeni lakini mm si mgeni hapa account ndio ngeni ila mm nafuatilia jf kitambo sasa niko na miaka 11 umri wa mtu huo now nimeamu kufungua account ili nami niweze kushiriki baadhi ya maada
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke daktari

    Atamimi ni mgambo kamanda ktk kikosi cha sungusungu natafuta mke mwanajeshi itapendeza kama atakuwa mp
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wewe kaka wewe, toka huko PM njoo uniahidi hapa

    Achana na tamaa ya fedha fedha ni maua na tena zinaua
  15. K

    JamiiForums Tanzania Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

    Shida ya nini sasa wanaume wasio na ndevu si wapo tuache na ndevu zetu na hakuna mwanamke wakunicommand ninyoe ndevu
Back
Top Bottom