Wanawake, sio kila mwanaume anayekupa msaada anakutaka kimwili

Kingcrazy

Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
18
Reaction score
14
Kwanini wanawake wengi mkipewa msaada na mwanaume akili zenu huwa mnaupokea msaada tofauti na makusudio ya mtoa msaada. Mara kadha nimekua nilishuhudia au kuwa Muhanga wa kubadilishiwa malengo ya msaada kwa wanawake

Mara nyingi nimekuwa nikiwasaidia wanawake kwa nia ya kutoa msaada wa kibinadamu ila wote ambao nimekuwa nikiwasaidia wamekuwa wakinitaka kimapenzi mwisho tumekuwa tukiishia kuwa maadui tu.

Wanawake badilikeni basi, sio kila mwanaume anayekupa msaada anakutaka kimwili wengine huwa tunawasaidia kwa njia njema tu
 
Si kweli huwa hatuwazi ngono, nyie ndo hutoa msaada muki expect kitu flani,by the way wanawake wanasaiddiana Mambo mengi kuliko kwa wanaume.
Ukiwa tu na shida mwanaume ana create mazingira ili apate k kiurahisi, I'm telling you wanawake ukiona kakutunuku alikuwa tu na hamu sio kwamba Kaku mind, msaada ni human aspect of life so ukimpa mtu don't expect some favor in return, ndio maana wenye akili zetu huwa hatutaki mazoea.
 
mkuu nyie ndo mmejenga mazingira kua mwanaume akikusaidia anakua anakutaka ndo maana mnaposaidiwa mnataka kulipa fadhila akati sie tunatoa kama msaada
 
Nisaidie na mimi[emoji2960]
Xxfxx, z7 b X-([emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji16][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji297][emoji4][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji4][emoji297]

Acha uongo wewe yule jamaa aliye kuwa anakuja pale udsm kukuchukua huyo unamuweka kundi gani??
Tatizo lako unafikir watu wote hawakujui huku
Si kweli huwa hatuwazi ngono, nyie ndo hutoa msaada muki expect kitu flani,by the way wanawake wanasaiddiana Mambo mengi kuliko kwa wanaume.
Ukiwa tu na shida mwanaume ana create mazingira ili apate k kiurahisi, I'm telling you wanawake ukiona kakutunuku alikuwa tu na hamu sio kwamba Kaku mind, msaada ni human aspect of life so ukimpa mtu don't expect some favor in return, ndio maana wenye akili zetu huwa hatutaki mazoea.
 
Acha uongo wewe yule jamaa aliye kuwa anakuja pale udsm kukuchukua huyo unamuweka kundi gani??
Tatizo lako unafikir watu wote hawakujui huku
Sijawahi kuchukuliwa na hata nikichukuliwa sio kosa kisheria, hafu watu wananijua Hadi K Sasa hapo kunijua hamna jipya kabisa.
Na ninachukuliwa na wengi kaka njoo na jipya
 
Back
Top Bottom