Recent content by KINGAZI_MKUU

  1. K

    JamiiForums Tanzania NMB Sandbox API

    Mimi ni mdau ambaye natumia NMB Sandbox na nimeona nishiriki kwenye hii thread kushare na wewe kwa undani taarifa zaidi kuhusu huu mfumo. Naomba kwa kuanza nitoe ufafanuzi jinsi mfumo unavyofanya kazi na kisha tuangalie wewe binafsi unakwama wapi na ikiwezekana nikusaidie Kwa nilivyoelewa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Honda CR-V & Mazda Tribute

    Naomba uniadd kwenye group la honda 0717324163
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    CIF yake inaanzia $5000 kwa model ya 2007 ambayo ndio hiyo inayoonekana hapo na zipo cc1800 na cc2000 4wd na 2wd
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    honda crossroad anaye zijua hizi gari matatizo yake
  5. K

    JamiiForums Tanzania Must listen music :2

    Cheerleader-omi ft felix Trap Queen.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kweli mafuriko sio ushindi

    Je unajua mwaka 2010 wapiga kura 42% ndio wanadaiwa kupiga kura?. Je ni kweli 58% ya wapiga kura hakwenda vituoni siku hiyo? Na unapozungumzia mafuriko usiigemee chama
  7. K

    JamiiForums Tanzania Millioni 50 Kila kijiji inawezekana

    #copyRaiaMwema Kuhusu suala la shilingi milioni 50 kwa kila kijiji, Makamba alisema fedha hizo zitatolewa katika kipindi cha miaka hiyo mitano na zitakuwa za mzunguko ili kusaidia watu wengi zaidi kufaidika. - See more at: Raia Mwema - Magufuli: Laptop kila mwalimu, milioni 50/- kila kijiji...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Anaweza kushinda kwa asilimia zisizopungua 52

    Mgombea Wa ukawa anaweza kushinda kwa kupata kura asilimia 52 zidi ya asilimia 46 ya mgombea Wa ccm na asilimia mbili watapata wengine kwenye uchaguzi mwaka huu 25 October. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Fumigation (kuua wadudu): Majumbani, Maofisini, Viwandani, Mahotelini

    habari nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala, sebure,choo,jiko haina uwanja hata kidogo ndio hiyo 250000 au inakuwa chini ya hapo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnayo habari hii!

    nilikuwa nafikilia itengenezwe tovuti ambayo mawakala wa vyama vyote watapata fulsa ya kupost matokeo ya kila kituo pale wanapomaliza kuhesabu kituo. hiyo tovuti iweze kuzijumlisha kura za kila kituo za udiwani,ubunge na uraisi na kutoa matokeo ambayo si rasmi kadri kula zinapo hesabiwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Kwani makufuri ni waziri Wa usafirishaji na uchukuzi? Au anazindua barabara tuu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania computer yangu imegoma kuwaka!

    Zima komputa yako wakati unaiwasha bonyesha f8 kabla haija boot. Kisha isikilizie kama sekunde kumi hivi kisha chagua save model kaka nipe majibu. Kama ikiboot kabla ya hizo sekunde kumi ujue ni hardware problem
  13. K

    JamiiForums Tanzania computer yangu imegoma kuwaka!

    Inaanza tena na tena una manisha nini yaani ina restart au
Back
Top Bottom