Millioni 50 Kila kijiji inawezekana

Millioni 50 Kila kijiji inawezekana

mahwelu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
322
Reaction score
253
Nasubiri ufunguzi wa campain ya UKAWA nione kama watahoji hili... Nitakuja na detail za how it is very craze to worry about this.
Nimesikia watu humu wanaweweseka kwa kukosa maalifa so nasubiri kama hata wachumi wa ukawa nao wataingia mchomo...

wekeni akiba mniulize...

Mahwelu
 
[/QUOTe
Mtindio wa ubongo huo
 
Ni akili finyu kumpa mtu samaki badala ya kumfundisha kuvua yeye mwenyewe. Pia ni utoto na ni siasa za kizamani kuahidi kugawa pesa flat rate kwa kila kijiji bila kujali ukubwa wa eneo, idadi ya watu, nk. Sio kwa CCM tu hata kama kuna mpinzani anawaza hilo atakua kafilisika kisera
 
Hata iwe milioni 100 tumechoka na ahadi,zisizotekelezeka.hatudanganyi ng'o
 
#copyRaiaMwema
Kuhusu suala la shilingi milioni 50 kwa kila kijiji, Makamba alisema fedha hizo zitatolewa katika kipindi cha miaka hiyo mitano na zitakuwa za mzunguko ili kusaidia watu wengi zaidi kufaidika. - See more at: Raia Mwema - Magufuli: Laptop kila mwalimu, milioni 50/- kila kijiji
#endCopyRaiaMwema

Vijiji vipo 19200 Hivi.
50milioni kwa miaka 5 kila kijiji
mwaka kijiji kitapata 10Milioni
Kwa mwezi kijiji kitapata 840000/=

Ungekuwa wewe ni mwenyekiti wa kijiji hela hizo ungefanyia nini

Au tuseme kila kijiji kinawakazi 50 kila mwanakijiji atapata 1Milioni kwa miaka 5
kwa mwaka kila mwana kijiji atapata 200,000

Hivi hiyo nayo ni ahadi kweli. Achane kutania watanzania jamani.
 
Nasubiri ufunguzi wa campain ya UKAWA nione kama watahoji hili... Nitakuja na detail za how it is very craze to worry about this.
Nimesikia watu humu wanaweweseka kwa kukosa maalifa so nasubiri kama hata wachumi wa ukawa nao wataingia mchomo...

wekeni akiba mniulize...

Mahwelu

Maalifa=Maarifa

Cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom