Recent content by kingaz

  1. kingaz

    JamiiForums Tanzania Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

    Mbona Shilole mzuri kuliko huyo mwanamke,sema labda kwa Wakenya bongo atakimbizwa sana!
  2. kingaz

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Mabasi ya haraka ni ushahidi tosha kwamba tunaweza tukiacha uzembe!

    Tunaweza watu walizoea ujanja ujanja...
  3. kingaz

    JamiiForums Tanzania Rais Mugabe asema atagombea urais hata akiwa marehemu

    Hata kama kaitoa mbali Zimbabwe....sasa anataka afie Ikulu? MTU hata kutembea hawezi!
  4. kingaz

    JamiiForums Tanzania Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

    Tatizo Airtel hawana 4G
  5. kingaz

    JamiiForums Tanzania Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

    Airtel unapata dk 100 kwa wiki ?kwa sh 5000 mitandao yote?
  6. kingaz

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Sisi yetu macho tu
  7. kingaz

    JamiiForums Tanzania Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

    Nunua laini ya Tigo ya chuo 1500 dk 130 tigo to Tigo Meseji za kutosha na 1GB kwa wiki
  8. kingaz

    JamiiForums Tanzania Serikali imevifuta Vituo vyote vya huduma za Afya ya VVU na UKIMWI kwa watu wa makundi maalumu

    Tuendelee tu tutasikia mengi na hii is just a beginning...just a trailer movie bado!
  9. kingaz

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

    Ndo maana mvua hazinyeshi
  10. kingaz

    JamiiForums Tanzania UNYAMA: Mtanzania asimulia unyama waliyofanyiwa Msumbiji

    Tatizo ni kubwa Mozambique wale jamaa ubinadamu hakuna nashangaa sisi wabongo tunavyojipendekeza kwao,wana roho mbaya sana !
  11. kingaz

    JamiiForums Tanzania Mtungi wa 15Kg Mihan 43,000, ORYX 51,000; Waziri wa Nishati umekaa kimya!!

    Dar oryx 43,000 15kg
  12. kingaz

    JamiiForums Tanzania Mama wa uhamiaji acharuka

    Wakiondolewa wahamiaji haramu wabongo wengi watapata ajira viwandani
  13. kingaz

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: I wish I could be IGP; Ni kuhusu wale wanakwaya pale central

    Kweli maana sasa ni hatari...ukijichanganya imekula kwako
  14. kingaz

    JamiiForums Tanzania Bei za mabasi

    Jenga Nyumba iwe Dar,Mbeya,Mwanza,Arusha ama Mtwara kwa hizo pesa unaweza pata kodi mil 2 hadi 3 kila mwezi na unaweza kopa benki hata mil 100 unapewa hizo ndo assets utakula hadi utazeeka watoto watasoma vizuri,hutapata presha na utakuwa na amani moyoni mwako,magari utakufa siku si zako!
  15. kingaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti sasa wako tayari kwa ndoa za mkopo

    Ndoa kitu kingine....wasomi wanaoa wasiosoma,lazima utulie kwenye kuoa ukijichanganya imekula kwako sisi wakristo hadi kifo kiwatenganishe!
Back
Top Bottom