Recent content by King’asti

  1. King’asti

    Mke wangu ana tabia za wizi na udokozi

    Kuna watu wanahitaji therapy aisee. Zungumza nae na ujue kwa nini anafanya hivyo, na alianzaje hako katabia. Kama anahitaji msaada wa wataalam msaidie. Kuna watu very smart maofisini na wana katabia ka kupiga search. Inasikitisha kweli.
  2. King’asti

    Tiba ya hernia kwa Mzee miaka65 korodani zinamuuma sana

    Poleni sana. Kwa sababu shida imempata zaidi baada ya kwenda hospitali, angerudi kule kule watajua namna ya kushughulikia masumbufu yatokanayo na vipimo. Kila la kheri.
  3. King’asti

    Tiba ya hernia kwa Mzee miaka65 korodani zinamuuma sana

    Poleni sana. Kwa sababu shida imempata zaidi baada ya kwenda hospitali, angerudi kule kule watajua namna ya kushughulikia masumbufu yatokanayo na vipimo. Kila la kheri.
  4. King’asti

    GE2025 Sasa mkutano wa kutangaza wagombea kufanyika saa Nne asubuhi ya Julai 29, 2025

    Amen amen mkuu 🙏🏾 Nimejaa tele kama pishi la ubwabwa. Nawe umetia nia mkuu? Hii ya kuomba kura kwa magoti is really 🤨
  5. King’asti

    Akwilina Kayumba wa OSHA, nani yuko nyuma yake?

    Ila hakuna marefu yasiyokuwa nanncha. Na mbio za sakafuni huishia ukingoni. Ila kuna shida mpya pale OSHA sasa.
  6. King’asti

    Loveness Tarimo athibitisha kuwa ni mjamzito

    Kuliko wanaume wanaohusiana na wanaume wenzao?
  7. King’asti

    GE2025 Sasa mkutano wa kutangaza wagombea kufanyika saa Nne asubuhi ya Julai 29, 2025

    Watanzania ama waliotia nia ndio wamekesha? Shamba la bwana kheri, mbuzi wa bwana kheri! To each their own 🙄
  8. King’asti

    Ni "HAIRISHA" au "AHIRISHA"

    Sio kweli. Kiswahili fasaha ni AHIRISHA
  9. King’asti

    Tupike maini na matembele

    Loool salaleeee! Ugali uko wapi sasa chief chef?
  10. King’asti

    Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Huwa naona ajabu sana ndugu watu wazima wakiishi pamoja. Mtafutieni ajira hata kama kibarua na mumpangishie nyumba akaishi na mwanae. Mlipieni kodi hata ya miezi 6. Halafu na wewe tafuta kazi. Hizi mambo mnashinda mkipigiana story za utotoni mtachoka sana.
  11. King’asti

    Kwanini wanawake ni bahili sana?

    Hahaha! Huyu hajaelewa why mmeambiwa muishi na sisi kwa akili! Dah!
  12. King’asti

    Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

    Hivi ukiwa na mental health issues unajigunduaje? Kuna vitu nikiona najistukia usikute na mimi nafanya the same ila sijijui! Au basi!
  13. King’asti

    Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

    Sasa wewe, si tulishakubaliana ukiwa unarudi home upige mluzi ama utangulize nyama kg kadhaa? Ona sasa! Huyu mkeo funga saba utubu kwa kumnyatia na umuombee Mungu amsaidie aache tabia ambazo hazina utukufu.
  14. King’asti

    Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

    Wewe wa alfu mbili na ngapi? Unamshauri Jaji Warioba? Ok!
Back
Top Bottom