Kanzi nzuri chadema,, vyovyote vile mnapigania maslahi ya umma wa Tanzania,, vinginevyo msingezuiliwa kufanya mikutano,, wala kutekwa, kubambikwa kesi.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wakimkamata atawa eleza tu udhani kutakua na ugumu wowote? Hakuna shida hapo@ shida ni Bashite kuthibitisha kuwa hakufoji vyeti hapo ndipo kuna shida kubwa!!!
Ha
Hasira yako inatokana na nini hasa!! Kufichua ukweli na kuweka uthibitisho wazi ni kumchafua? Kujichafua kumchafua mwenyewe Bashite' kwa kufoji vyeti si vinginevyo' wengine waliwajibishwa! yey Bashite kwanini asiwajike mnamlilia kwa kujenga nni kwa taifa hili?wote waliokwisha ondolewa kzn...
HAhahaha mmepoteana kwa hili mtajichanganya mpaka mjivuruge' bora mnge kaa kimya ingekua hekima kwenu' lkn kwa hili mnazdi kujizamisha kwenye dibwi zito mno' misilo weza kutoka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.