Nape: Samaki aliyefunga mdomo wake kamwe hanaswi na ndoano ya mvuvi

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,593
36,010
Nape Nnauye, waziri wa habari, michezo na vijana katika kile anachoonekana kuwahasa au kumhasa mtu amejikuta akiandika maneno yenye kufikisha ujumbe mahali fulani.

Kwenye maneno hayo ametumia mfano wa samaki ambaye amefunga mdomo wake kamwe hawezi kunasa kwenye ndoano. Nape anaenda mbali zaidi kwa kuhasa kuwa ni vyema tukafunga midomo pale tunapokuwa katikati ya wabaya.

Hata hivyo Nape Nnauye anasahau kuwa alipokuwa msemaji wa CCM alikuwa akisema "hovyo" mara kwa mara kiasi cha kutoa lugha za maudhi kwa wapinzani wakubwa wa CCM hasa Chadema huku mara kwa mara akilengwa Dr. Slaa ambaye Nape alikuwa akimkejeli kutokana na mambo mbalimbali yaliyokuwa yakimkabili.

"Samaki aliyefunga mdomo wake kamwe hawezi kunasa kwenye ndoano ya mvuvi. Ni vizuri tukafunga midomo yetu pale tunapokuwa katikati ya maadui zetu" -Nape Nnauye.
 
Ameshakuwa mkubwa amejitambua, hata Bashite ipo siku atajitambua.
 
We Daudi unadhani tunamchukia peke yetu?Daudi ameshakwenda na maji tayari mark my word Nape yuko kwenye cabinet ya President na yupo kwenye kizizi cha juu kabisa cha sisiemu
Bashite byeee sasa akikaa mtaani bila ulinzi si watu watamzuru Daudi jamani?
Nadhani ataenda diaspora jukooo
 
Nape alifadhiliwa na nani kupata ubunge? Wema ni workmate au sweetheart wake? I dont understand how he conducts himself in the public...hata yeye amebebwa sana.
Anatumia jina la baba kama wengine atulie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom