Lipumba hachomoki kwa ushahidi huu; aliyepigwa ni mmoja wa walinzi aliopewa

Mungu hamfichi mnafiki. Sasa ukweli kuhusu CCM na serikali yake kuwahujumu CUF umewekwa hadharani.
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
Unapigwa umezungukwa na watu wanatumia mawe ni utepuka vipi kipigo
 
Mkuu kwenye hilo tukio kuna footage ya huyo jamaa akijilinda?Mimi sishabii watu kuvuruga shughuli halali za vyama vya Siasa.Na wala watu wasifikirie ni CCM.Mimi sio CDM wala CUF.Mimi ni Mtanzania ambaye chama changu ni Haki Na ustawi wa Taifa letu.Ninachokataa ni watu ku-label huyo jamaa kama mtumishi wa Idara.Kweli wako watumishi wa Idara ngazi anuai lakini mtumishi wa Idara wa kuweza kuchomolewa akamlinde Lipumba sio mtu wa level ya kupewa kisago kiasi hicho Na asiache hapo maiti za watu kadhaa.
Ishu ni kuotewa. Unaweza kuwa umekaba huku halafu unakatwa huku. Hao wajuzi wa kupigana wanaonyesha uwezo wakiwa na wajuzi wenzao. Wakikutana na hasira za kitaa hazina fomula jinsi ya kusulubu.

Kuna picha zinaonyesha huyo ni mlinzi wa Lipumba. Kwahiyo ni idara. Na ndo huyo kakalishwa, lisigino wamelilamba
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
Si kweli inategemea umeingia kumi na nane zipi ukiingia vibaya unachezea kichapo tu.Huyu karusha iki huyu hiki,mafunzo na hali halisi ni vitu viwili tofauti,cha msingi akili za kuambiwa changanya na zako.Huyo jamaa alikosea timing tu amshukuru Mungu ni mzima atatibiwa atapona.Sidhani kama atathubutu tena.
 
View attachment 500233 View attachment 500184 View attachment 500183 [HASHTAG]#BreakingNews[/HASHTAG]

Aliyechezea Kichapo Jana kwenye Mkutano Wa Maalim Seif Huyu Hapa. Kumbe Ni Mmoja Ya Watu( Usalama wa Taifa) Wanaomlinda Lipumba.
malipo ni hapa hapa duniani... Jamani kwa walioiona video wakati hawa mazombi wa lipumba wanavamia mkutano wa CUF, hilo jamaa lililovunjwa msuli wa Mguu ndo lilianza kuingia chumba cha mkutano na kuanza kumpiga kiongozi mmoja wa cuf aliyekuwa ameketi jirani kabisa na mlango..
bahati yake tu kapona yani wananchi wangemmaliza kabisa pumbavu huyu.
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
Anacret unaniaibisha Bluebliged ya wapi?
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
Mkuu usiongee kama unaishi nje ya dsm
 
watu toka waijue usalama basi kila kitu kiktokea basi usalama....hv toka lini lipumba akalindwe na usalama au hzo pesa mnazopewq kuichafua TISS
 
Mbona mnakua wavivu kufikiri emb tazama picha ya aliepigwa tazama picha ya pamoja na lipumba hivi mmerogwa na nani

ndugu zangu usalama sio kucha kila mtu anazo
 
Hujajua nguvu ya wananchi wewe. Wananchi wakiamua hata uje na makaratee mix judo full kung fu plus martial arts in collaboration with mortal combat na wingi wao ule utakaa tuu utake usitake.[/QUOTE]
Mwambie ampeleke kitaa huyo.usalama.aliyepitia mafunzo hapo buguruni tu halafu watu waite mwizi tuone hayo mafunzo yake. Wewe raia 50 huyu.mawe huyu fimbo huyu panga ndio ulete ujuzi.
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.
Hata uwe na mafunzo mzee, kwa raia utakiri tu
 
Sio rahisi kihivyo! Usalama wa Taifa hawezi kupigwa "kibwege" hivyo.Mtu alyeiva kimafunzo hawezi kupigwa kifala namna hiyo.Huyo atakuwa mmoja wa mgambo wa uraiani wanaojipa vyeo vya maafisa wa Usalama au wale jamaa wa Blue Brigade waliopata pata vimafunzo vya Kareti Na Konfu.

hili ndilo naliona hata mie......
 
Huyu inabidi aaikabidhiwe kwenye vyombo vya sheria maana kule wanafahamu ukweli wote. Walijaribu kutengeneza bongo movie lkn imedunda kisa director wabovu. Hapa kinachotakiwa tuunde usalama wa wananchi na tumshughulikie mpaka ataje wenzake huyo yani kwa siku anakatwa kidole kimoja bila ganzi, siku nyingine unang'oa nywele za korodani kesho yake unavuta kucha ya kidole kimoja hakika atasema na atataja.
Haaa nimeipenda hiyo ya usalama wa wananchi na sio usalama wa Taifa sababu wanao vamia vituo vya tv na kuonyesha 'ushamba wa kuonyesha bastola' mbele ya kadamnasi hawachukuliwi hatua
 
Back
Top Bottom