Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Hutapata cheo Paskale kwa kutetea sakata la Mr. Bashite,ubunge wa kuteuliwa ndo kwanza anapewa mama Salma.
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki duniani "presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani.

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.

Anne Kilango alipodangwanywa tuu, alitumbuliwa pale pale!. Kitwaga alipopata kidogo tuu pale Bungeni, alitumbuliwa pale pale lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma hizi ni za uongo, ni za uzushi, ni za kutunga na za kubuni, haiwezekani kabisa mteule wa rais Paul Christian Makonda akaiba jina, akafoji cheti!. Huu ni uzushi wa kupuuzwa kabisa na ndio maana hata Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, na wala hata chukua hatua yoyote kwa sababu soon wengi mnaojua Kuwait Paul Makonda ndiye yule ambages... "Huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu, ninaye pendezwa naye", hata akifanya nini, mtapiga tuu kelele za kujisumbua bure!, ndio maana mpaka sasa watu wametulia tuu na kuzipuuzia hizi kelele zote za kizushi huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
You seem to be too low....Hebu tupe elimu yako na wewe...Umefikia level gani ya elimu......utetezi wa hili swala mdogo wangu ni Bashite kuonyesha vyeti vyake......Basi...
 
Yaani mtu akisoma heading na utangulizi aweza kudhani una cha maana ulicholeta kama udhibitisho wa uongo! Kumbe umetiririsha pumba tupu
Mayala kana njaa kubwa sasa kanaenda kukosa heshima kila mtu atakajua kuwa ni kanjanja kana njaa ya kutisha.
 
Pasco mayala kaka nakuheshimu nasikia nawewe ni myala wa kalenga Iringa sasa hiyo mayala badala ya myala umeitoa wapi tena? any way wewe ni mwandishi wa kiuchunguzi nitakuheshimu sana ukituwekea cheti halali cha RC wa dar badala ya bwebwe...inaonekana upo jirani na makonda kiasi cha kumshauri atoke adharani lakini baadae unasema keep silence...kwa nini?? ni sababu gani makonda alikwambia hawezi kutoka hadharani??
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki duniani "presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani.

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.

Anne Kilango alipodangwanywa tuu, alitumbuliwa pale pale!. Kitwaga alipopata kidogo tuu pale Bungeni, alitumbuliwa pale pale lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma hizi ni za uongo, ni za uzushi, ni za kutunga na za kubuni, haiwezekani kabisa mteule wa rais Paul Christian Makonda akaiba jina, akafoji cheti!. Huu ni uzushi wa kupuuzwa kabisa na ndio maana hata Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, na wala hata chukua hatua yoyote kwa sababu soon wengi mnaojua Kuwait Paul Makonda ndiye yule ambages... "Huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu, ninaye pendezwa naye", hata akifanya nini, mtapiga tuu kelele za kujisumbua bure!, ndio maana mpaka sasa watu wametulia tuu na kuzipuuzia hizi kelele zote za kizushi huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
HAhahaha mmepoteana kwa hili mtajichanganya mpaka mjivuruge' bora mnge kaa kimya ingekua hekima kwenu' lkn kwa hili mnazdi kujizamisha kwenye dibwi zito mno' misilo weza kutoka.
 
Mbona mayalla kila siku unaleta mada ile yenye maudhui yaleyale mada ambazo haziji na majibu, kwanini usiji jibu kwenye uzi wako wa jana? Hata kama ni kujipendekeza but this is too much.
Hawana jibu sasa wafanyeje?? Inabidi waepuke kukaa kimya wkt mashambulizi yanazdi kuwashukia juu ya Basheti.
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki duniani "presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani.

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.

Sasa nimegundua uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.

Anne Kilango alipodangwanywa tuu, alitumbuliwa pale pale!. Kitwaga alipopata kidogo tuu pale Bungeni, alitumbuliwa pale pale lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma hizi ni za uongo, ni za uzushi, ni za kutunga na za kubuni, haiwezekani kabisa mteule wa rais Paul Christian Makonda akaiba jina, akafoji cheti!. Huu ni uzushi wa kupuuzwa kabisa na ndio maana hata Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, na wala hata chukua hatua yoyote kwa sababu soon wengi mnaojua Kuwait Paul Makonda ndiye yule ambages... "Huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu, ninaye pendezwa naye", hata akifanya nini, mtapiga tuu kelele za kujisumbua bure!, ndio maana mpaka sasa watu wametulia tuu na kuzipuuzia hizi kelele zote za kizushi huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Asante na wewe kwaresma njema. Ukumbuke huu ni mwezi wa toba. Utumie vizuri, Mungu ni mwema akushushie mizigo unayobeba or whatever you are guilt of.

They got you by the b..ls, mmh. Pardon me mkuu, but no pun intended.
 
Mkuu Pasco achana kizaz cha mitahira ming kilichotokana ma BVR... Utaambulia matuc tu na kushusha thaman yako...

Hili taifa Vijana kwa sasa 90% hawana uwezo wa kufanya reasoning icpokua kufuata na kuish maisha ya kidaku hasa hiz information zinazoletwa na le mutuz, mange kimambi, wema, Steve nyerere na ma celebrity wengne...

Vijana hawatak tena kuumiza hakir zao..kufkrisha ubongo wao, kujitathimn, kujipambanua na kutafakar....

Mkuu naomba ungekuwa unayapeleka kwa great thinkers mambo kama lingekua n bora Mara 100 kuliko kuleta swala ambalo kubwa zaid kiakil kuliko uwezo wa wasomaj na wachangiaj...

Sparon
 
We ndo mfagizi wa ofisi ya bro? Unahofia akipigwa chini huna kazi? Nakumbuka stori moja hivi kuwa kulikuwa na bosi alimwajili kijana kusafisha takataka zinazondoka chini na kijana alifanya kazi kwa umakini zaidi, siku moja alimwendea bosi wake akimshauri kwa nini ule mti asiukate maana unamwaga taka nyingi sana, bosi akakubali na akanunua mundu na panga na sururu akamkabidhi kijana ili akate ule mti. Kijana pasi kujua anajiharibia ajira yake kweli alikata ule mti na mwisho bosi alimlipa mshahara wake wote na wakaagana maana hakukuwa na umhimu wa kuendelea kubaki pale.

Jifunze mtoa maada kama unalako na bro la kumtetea tambua wewe sio msemaji wake japo unakula keki kupitia kwake. Aje na vyeti mbona mambo madogo hayoooo
 
Utumwa wa fikra huo.....

Wapo waliokwenda kwa wazazi wao na kuwahoji ... majibu yapo.

Kijijini kwao sio mbali, tulioko jijini Mwanza tumeishapewa ukweli wa kila kitu ...

Muulize kama hawafahamu akina Poneja ... wanamfahamu vizuri sana hata yeye anajua hilo.

Kama unataka akujali kwenye maslahi yako binafsi useme ila hatutaki uongo hapa JF.
Bro huwa nakuelewa sana.
 
Yaani ww ndiyo unajiita mwenye Akili kwa kigezo cha kutetea njaa ya pasco mayala? ama kweli Akili ni nywele kila mmoja ana zake, hivi mtu anajiita Mwandishi hajaenda huko kijijini kuthibitisha chochote, wala kufanya uchunguzi wa kiina anachukua Rushwa na kuandika Habari za utetezi wa ajabu wewe unamsifia !! Msitake kuwatukana Vijana wa Tanzania kwa kisingizio cha kukataa kuwaunga mkono juu ya njaa zenu za kutetea Uovu wa kufoji vyeti.
 
Vyeti vya pascal mayala ni magumashi matupu yaani ni mwizi anamtetea mwizi mwenzake, msukuma anamtetea msukuma mwenzake baada ya kupewa Rushwa, huyo pasco akichunguzwa vyeti vyake lazima vitakuwa na tatizo na hata kama ana vyeti olijino lazima kutakuwa na ujanja ujanja pia, ikumbukwe kuwa Tanzania ndipo wengi humiliki vyeti pasipo kuwa na Taaluma kichwani. Wasomi wajanja wajanja wapo wengi Dsm na vyeti vyao ni kama vya pasco, ngoja kanjanja mkongwe apige pesa kisha aendeleze utetezi wa kizushi.
 
Utumwa wa fikra huo.....

Wapo waliokwenda kwa wazazi wao na kuwahoji ... majibu yapo.

Kijijini kwao sio mbali, tulioko jijini Mwanza tumeishapewa ukweli wa kila kitu ...

Muulize kama hawafahamu akina Poneja ... wanamfahamu vizuri sana hata yeye anajua hilo.

Kama unataka akujali kwenye maslahi yako binafsi useme ila hatutaki uongo hapa JF.
Asanteeeeeeeee
 
mbona unaandika uzi mrefu sana na unatumia nguvu nyingi sana kwa kitu ambacho kipo wazi? kuna kamuamala ka mpesa nini?
 
Yaani ww ndiyo unajiita mwenye Akili kwa kigezo cha kutetea njaa ya pasco mayala? ama kweli Akili ni nywele kila mmoja ana zake, hivi mtu anajiita Mwandishi hajaenda huko kijijini kuthibitisha chochote, wala kufanya uchunguzi wa kiina anachukua Rushwa na kuandika Habari za utetezi wa ajabu wewe unamsifia !! Msitake kuwatukana Vijana wa Tanzania kwa kisingizio cha kukataa kuwaunga mkono juu ya njaa zenu za kutetea Uovu wa kufoji vyeti.
Mkuu njaa ndo kitu gan....
Unafkr tatzo la makonda n kubwa kuliko salary wanazopeana wabunge...?

Hujui kama bunge ndio engine ya meandeleo...je Hao vilaza bungen wameenda kufanya nn...?

Tatzo la taifa hil bado naamn n bunge kuwa na vilaza huku ma dreva wao wakiwa form 4 graduates...Vijana wenye hakir hapa ndo tulitakiwa kusigana.. Sio kwenye maisha ya udaku wa kina stev nyerere na mange kimamb
 
Back
Top Bottom