Recent content by king90

 1. K

  Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

  Binafsi nakushauri uchukue harrier sababu kuu ikiwa ni muonekano wa ndani ila kama hutojali kuhusu uziri wa ndani chukua Rav 4 sababu ina ulaji mzuri wa mafuta kuliko harrier na pia ni imara zaidi kuliko harrier.Rav 4 in gear box kubwa yenye uwiyano sana na engine wakati harrier ina gear box...
 2. K

  Matumizi ya mafuta safari kutoka Dar es Salaam - Arusha

  Rafiki yangu juzi katumia 25l dar to arusha akiwa na toyota prius hybrid
 3. K

  Naomba Kujua Service ya IST

  Hongera sana mkuu! Cha msingi fanya service ya kawaida yani badili engine oil,coolant,gear box oil(sio lazima sana) na vitu vidogo vidogo.Jambo la muhimi isipeleke ovyo gereji za mtaani tafuta fundi mzuri gari itafumu
 4. K

  Dhana ya gari automatic hazifai kwa biashara ya kubebea mizigo

  Sina uzoefu sana ila kuna fundi aliniambia Automatic gear box inahitaji umakini sana tofauti na hizi manual hasa kama unapanda milima mara kwa mara
 5. K

  Hii ni App gani ya iphone?

  Yes nalipia
 6. K

  Hii ni App gani ya iphone?

  Sawa mkuu naona umeenda deep zaidi,big up tupo pamoja nami ninazo zote. WITHOUT MUSIC LIFE WOULD BE A MISTAKE
 7. K

  Hii ni App gani ya iphone?

  Mkuu data zako naona kama hazijakaa sawa spotify ndio inaongoza kwa sasa kwa kuwa na user wengi.Kwa huku kwetu apple music is the best ingawa spotify is the best for audio quality.Deezer ni user friend so kila app ina uziri wake.Binafsi natumia zote tatu bt nailubali sana spotify
 8. K

  Nini plan B baada ya vifurushi vya internet kupanda bei?

  Tupe elimu kidogo hapa mkuu huenda tukasalimika
 9. K

  Nini plan B baada ya vifurushi vya internet kupanda bei?

  Kwa kweli hivi vifirushi na majanga sana
 10. K

  Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

  Hawa jamaa wa It huwa siwaelewagi kabisa maana wanakimbia isivyo kawaida,inabidi wahisika waangalie namna ya kuwadhibiti maana ni tatizo kubwa sana
 11. K

  Msaada Toyota IST 4WD

  Kuna fundi aliniambia gari ndogo zenye 4WD huwa zinasumbua,hakunipa maelezo sana ila ninachofahamu ni kwamba zenye 4WD zinakula mafuta kuliko zenye 2WD
 12. K

  Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

  Kabla ua kwenda mbali jaribu kuchek hivi vitu viwili 1) ignition plug 2) Air intake system huenda inavuja sehemu au air mass flow sensor in shida NB: Kwa wenye vyombo vya moto mjitahidi kuwa mnasoma soma hata You tube kuna vitu unaweza jifunza juu ya gari lako
 13. K

  BMW vs Crown athlete

  Hao walio kwenye crown sio waliopata ajali hizo ni video 2 tofauti
Top Bottom