FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,874
- 46,979
Mnaota moto mkiwa mbali sana, sogeeni karibu, na ajibu hiyo hoja, kutafuta huruma huwa haijengi sanaUmechelewa sana kumfahamu,anakujaga JF kubishana na sio kuelimishana.
Mnaota moto mkiwa mbali sana, sogeeni karibu, na ajibu hiyo hoja, kutafuta huruma huwa haijengi sanaUmechelewa sana kumfahamu,anakujaga JF kubishana na sio kuelimishana.
Hicho ndicho kinacho reflect IQ yako.Inabidi uonyeshe how sorry you are kwa kujibu hoja, otherwise hata kenge angeweza kupost ulichocomment bila hoja yeyote
Kuna nini zaidi ya 3,41O?Kuna kitu hakipo sawa kati ya pande tatu, serikali, wenye mtandao na wenye magari...... Maana walianza uber kusitisha hizo huduma na sasa wanakuja Bolt na woote hao waliondoa huduma za magari wakaacha za bajaj na bdbd
Fafanua, ulichosema ni kama niseme Tanzania tuna pesa ya kujenga flyover 100 kila siku wakati tunazo 3 tu, halafu sitoi maelezo yeyote..FYI investment ya Uber Kila mwaka inajenga SGR kutoka Dar Hadi Morogoro Kila mwaka
3,41O ndio kiini cha tatizoKwahiyo hawalipi kodi? Hawana wafanyakazi? Kumbuka tz tunakata kodi mtaji na sio faida
Hilo sijabisha, ila kujibu kireja reja bila hoja hakukupi ulinzi wala kichaka cha kujificha au kuonewa huruma. Jibu hoja.Hicho ndicho kinacho reflect IQ yako.
Mkuu, mtu kama huyu anayeshindwa kutambua mishahara ni expense kwenye biashara unadhani unaweza kujenga naye hoja kwenye nn zaidi ya kupasua kichwa chako kama vitu basic kama hivyo hata haelewi?FYI investment ya Uber Kila mwaka inajenga SGR kutoka Dar Hadi Morogoro Kila mwaka
Hii janja janja, wizi na kukosa uaminifu ni sababu mojawapo ya Biashara Bongo kuwa ngumu sanaKila Bolt Tax niliyopanda hapa karibuni dereva aliomba ni cancel hiyo request ila nimlipe ela iliyoandikwa kwenye app, hayo yote sababu wanataka 30% ambayo dereva akiwapa anakuwa anawafanyia kazi wao.
Wakae na madereva waongee vizuri.
Waondoke tu ili wahuni tuweze kulamba asali sasa. Ubungo - Airport Tsh.7O,OOOHapo wabongo washafanya yao
Counter argument Yako kwenye post #34 kwa hoja yangu post #33 imeonyesha you are clueless, Sasa kama vitu basic hujui tutakuwa tunajenga hoja Gani Zaid ya kuanza lecture?🤣🤣Hilo sijabisha, ila kujibu kireja reja bila hoja hakukupi ulinzi wala kichaka cha kujificha au kuonewa huruma. Jibu hoja.
Sasa toa hoja kudhihirisha how clueless i am, kama nikisema wewe ni shoga bila kutoa hoja yeyote nitakuwa sahihi? Yaani bila hoja yeyote mtu atoe tu statement, tutafika?Counter argument Yako kwenye post #34 kwa hoja yangu post #33 imeonyesha you are clueless, Sasa kama vitu basic hujui tutakuwa tunajenga hoja Gani Zaid ya kuanza lecture?🤣🤣
Watu wengi hawana uelewa wa namna Kampuni za Kiteknolojia zinavofanya kazi, na wewe ukiwepo.Fafanua, ulichosema ni kama niseme Tanzania tuna pesa ya kujenga flyover 100 kila siku wakati tunazo 3 tu, halafu sitoo maelekzo yeyote..
Ni mambo hayo hayo ya tarakimu ndo yanayoleta mizozoKuna nini zaidi ya 3,41O?
bugs zinajirekebisha zenyewe?DA DON unapoamua kuandika hakikisha kichwani mwako hamna mayi(viroba).
Salamu kwa watu watatu tafadhali.Mnaota moto mkiwa mbali sana, sogeeni karibu, na ajibu hiyo hoja, kutafuta huruma huwa haijengi sana
Hapo hujasema chochote , ni sawa na mimi nisema kwamba Brevis langu linatumia mafuta sawa na tanker kumi za mafuta kwa mwezi kwa safari za kwenda na Kurudi mjini tu, halafu sitoi maelezo yeyote, hivyo tu.., halafu nakuacha hewani, its ridiculous..Watu wengi hawana uelewa wa namna Kampuni za Kiteknolojia zinavofanya kazi, na wewe ukiwepo.
Ili Uber ifanye kazi kwa mwaka inatumia/inahitaji Karibu dola BIllion 4 za kimarekani..
Backend Infrastructure pekee wanalipia zaidi ya mamilioni ya Dola ambayo yanaweza Kila mwaka kujenga Express yote ya Kenya, Daraja la Tanzanite, Arena za michezo 10
Eti watazima magari yao, wakizima hiyo app hizi taxi starter zinagoma kupiga sio 😂😂😂, tutahamia Instagram tu.., huduma za Taxi una-request instagramKuna tetesi kuwa katikati ya mwezi huu kampuni ya usafirishaji ya magari (Online Taxi) Bolt inasitisha huduma za usafiri kupitia magari. Watakaopata huduma ni kundi dogo nasikia. Hii inakaaje na gharama zetu za maisha tuliozoea ku-request? Watalaamu mje kutusaidia hapa au ndio tunarudi kwenye taxi, Kinondoni - Mwenge unalipia Sh. 25,000/=
===
Bolt yatishia kusitisha huduma zake Tanzania
Baada ya Kampuni ya Uber kusitisha baadhi ya huduma zake Nchini Tanzania, huenda Kampuni ya Bolt nayo ikafanya hivyo kwa upande wa huduma za Usafiri wa gari maarufu kama teksi kutokana na ada ya huduma ya 15% iliyowekwa na LATRA.
View attachment 2322957
Huduma ya usafiri wa mtandaoni, Bolt
Meneja wa Bolt Kanda ya Afrika Mashariki, Kenneth Micah amesema Kampuni hiyo imeomba kukutana na wadau ili kujadili zaidi suala hilo kwa matumaini ya kufika mbadala.
Bolt imepanga kuwafikia wadau husika, ikiwa ni pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA), ili kujadili upya masharti mapya yaliyowekwa.
"Bolt ameomba kukutana na wadau husika ili kujadili zaidi suala hili kwa matumaini ya kufikia kanuni nzuri za ushuru na kamisheni, hata tunapoendelea kutafuta na kutafuta njia mbadala za ushawishi zinazotolewa ndani ya mfumo wa kisheria ikiwa ni pamoja na mfumo wa udhibiti wa LATRA." alisema. Meneja wa Bolt Kanda ya Afrika Mashariki, Kenneth Micah.
Bolt, ambayo inawatoza washirika wake kamisheni ya asilimia 20 ilisema kwamba itazima aina ya magari yake iwapo hakuna kitakachobadilika.
"Tunatii kwa muda ili kuonyesha nia njema na kujitolea kwetu kushirikiana na LATRA kwa kanuni zinazofaa zaidi zinazowezesha uwekezaji zaidi. Tunafahamu ukweli kwamba iwapo LATRA itadumisha hali ilivyo sasa, soko hatimaye litakoma kuwa na faida kwa Bolt, na hii italazimu kuzima kitengo chetu cha magari." alisema Micah.
Hata hivyo, kampuni ya mtandaoni ya Uber ilisitisha shughuli zake nchini hapa wiki kadhaa zilizopita kutokana na suala hilo hilo, ingawa ilisema kuwa itarejesha biashara hiyo ikiwa masharti yatakuwa mazuri.
Bolt ambayo inafanya kazi katika mataifa saba barani Afrika, ikiwemo Kenya, Afrika Kusini, Uganda, Ghana na Nigeria, imesema kuwa huenda takriban Madereva 10,000 wakalazimika kutafuta ajira nyingine ikiwa watasitisha huduma.
Chanzo: EATV
Yaani kuna mtu angeitwa shetani hadi basi...Ingekuwa awamu ile.......
IST zinaenda kuwa bei rahisi mtaani