Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,504
- 11,737
TtclUkiacha Vodacom hakuna mtandao mwingine utaokuwa unatoa hiyo huduma kwa bei ya vifurushi chini ya hapo
TtclUkiacha Vodacom hakuna mtandao mwingine utaokuwa unatoa hiyo huduma kwa bei ya vifurushi chini ya hapo
Ni true unlimited? Maana hawa jamaa unlimited zao wanabana speed ukitumia sana.Kama ndivyo Bora kukimbilia smile Wana true unlimited ya 185,000/= unakuwa na router yako unaendanayo popote na unatumia vyovyote utakavyo.Gharama Iko juu kidogo ila ni bora kuliko hio ya voda yakuwa fixed sehemu moja
Hao hao voda wana unlimited zile unatumia bando likiisha unaendelea kuwa connected lakini kwa speed ndogo. Am not sure speed ni ndogo kiasi gani kila kifurushi.Ukiacha Vodacom hakuna mtandao mwingine utaokuwa unatoa hiyo huduma kwa bei ya vifurushi chini ya hapo
TTCL ila unaomba huduma leo sep 26 2022 wanakuja kuku ungia 2025 decemberUkiacha Vodacom hakuna mtandao mwingine utaokuwa unatoa hiyo huduma kwa bei ya vifurushi chini ya hapo
DuhTTCL ila unaomba huduma leo sep 26 2022 wanakuja kuku ungia 2025 december
Kama uvumilivu huo unao basi TTCL baba lao wanakufaa peleka maombi boss
Ni fixed sio ya ku move nayo boss Io supakasi internet unapata Ile shm umechagua home bas unafungiwa antenna homeNaomba kujua hii router naweza kumove nayo kutoka home kwenda nayo ofisini? Ama Niya sehemu Moja TU kama ni home ni home kama ni ofisini ni ofisini TU.
Ni fixed sio ya ku move nayo boss Io supakasi internet unapata Ile shm umechagua home bas unafungiwa antenna home
You're right...Ni true unlimited? Maana hawa jamaa unlimited zao wanabana speed ukitumia sana.
Na hio bei kwa makampuni mengine unaweza funga unlimited Nyumbani, ofisini na kijiwe cha kahawa na change inarudi.
Itakua ni Satelite mkuu.You're right...
Wengi wanaosema unlimited, sio unlimited! Last week tu hapa niliongea na kampuni moja inayotoa, nadhani ni satelite or fibre internet. Kama kawaida yao, nao wanajifanya kuuza speed coz' the bundle is UNLIMITED!
Kwavile haya mambo back in the days niliwahi kukutana nayo, nikaendelea kumhoji yule binti, na bila kujua, huku akidhani ndo anafanya mauzo zaidi, akajikuta akisema "na pia tunatoa data allowance of .... wakati wa usiku!
Nikamuuliza kwanini watoe data alllowance wakati package yao ni unlimited; ndipo ikabidi aseme ukweli kwamba kwa kifurushi nilichokuwa nakitaka, wanatoa something like 40GB, na zikiisha, ndo wanatoa hiyo allowance!!
Nikajua tu hiyo allowance lazima itaendana na reduced speed... NIKAACHANA NAO!
Yeah, ni satelite coz' wanakufungia na dishi kabisa, na kwa Dar es salaam bei ya installation ni very expensive... ni M something!Itakua ni Satelite mkuu.
Kwa uelewa wangu Fiber zote ni true unlimited na hata wakiweka cap inakuwa kwenye terabyte huko ambazo kwa matumizi ya kawaida si rahisi kufika.
Fiber zina Capacity kubwa sana, tofauti na mobile data na satelite internet.
Hii ya smile ni true unlimited nimetumia Dana,shida no hiyo gharamaYou're right...
Wengi wanaosema unlimited, sio unlimited! Last week tu hapa niliongea na kampuni moja inayotoa, nadhani ni satelite or fibre internet. Kama kawaida yao, nao wanajifanya kuuza speed coz' the bundle is UNLIMITED!
Kwavile haya mambo back in the days niliwahi kukutana nayo, nikaendelea kumhoji yule binti, na bila kujua, huku akidhani ndo anafanya mauzo zaidi, akajikuta akisema "na pia tunatoa data allowance of .... wakati wa usiku!
Nikamuuliza kwanini watoe data alllowance wakati package yao ni unlimited; ndipo ikabidi aseme ukweli kwamba kwa kifurushi nilichokuwa nakitaka, wanatoa something like 40GB, na zikiisha, ndo wanatoa hiyo allowance!!
Nikajua tu hiyo allowance lazima itaendana na reduced speed... NIKAACHANA NAO!
Taasisi za serikali shida tupu.Yeah, ni satelite coz' wanakufungia na dishi kabisa, na kwa Dar es salaam bei ya installation ni very expensive... ni M something!
TTCL wanatu-let down sana yaani! Hawa jamaa wangecheza na hii fursa inayotokana na crazy mobile bundles, baada ya mwaka wangekuwa mbali sana kwa mapato!!
Yeah, smile nawakubali sana tangu wanaingia kwenye hii business sema eneo nilipo sasa bado hawajafika!!Hii ya smile ni true unlimited nimetumia Dana,shida no hiyo gharama
Zuku wameshashtukia fursa, na hadi TTCL wanaamka usingizini, watakuta reliable markets zote zimeshabebwa!!Taasisi za serikali shida tupu.
Zuku taratibu atasambaa Dar nzima. Miaka mitano si mingi.
Demand ni kubwa sana.
30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5GawezaVODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI
PRICE PER MONTH
30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G
For more information kindly check me DM or call 0744355811
It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antenna)
View attachment 2375302View attachment 2375303
Yes unaeza ama nayo Wala hakuna shda KabsaHii naweza ama nayo? Maana nyumba zenyewe za kupanga
aweza
Yes unaeza ama nayo Wala hakuna shda Kabsa
Je sehem unayokaa Kuna coverage ya 5G nadhan ni better ufanyiwe survey kwanza kama unataka 5G lkn kama wataka Device za 4G Haina haja ya survey ila inakuja indoor routerInawezekana nyumba mbili zilizokwenye compound moja kushare?
rJe sehem unayokaa Kuna coverage ya 5G nadhan ni better ufanyiwe survey kwanza kama unataka 5G lkn kama wataka Device za 4G Haina haja ya survey ila inakuja indoor router