Recent content by King9

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hard talk: Kuhusu Sheria za Ardhi pekee

    Nimenunua kiwanja mwaka 2007 kupitia wakili na nikajenga ndani ya miezi 2 nikahamia.mwaka Jana ndugu ya aliyeniuzia wanakuja kudai kwamba ndugu yao(marehemu) ajaniuzia na wana documents zote za kiwanja na mm ninazo za kwangu ila zinafanana na za kwao.hivi kuna uwezekano wa kudhurumiwa?
  2. K

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Kama jina la kinyarwanda
  3. K

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nipo buza tanesco temeke DSM king'amuzi no 02139150556-3 ni cha dish,kilionyesha no service niliwaita mafundi wenu wakalekebisha baada ya siku tatu imekata tena inaonyesha E01:No input signal Nawapigia cm mnasema tatizo litashughulikiwa,sasa ni wiki ya tatu wale mafundi nawapigia cm wasema...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mheshimiwa Rais fomu ulichukuwa mwenyewe, lakini je kura nazo ulijipigia mwenyewe?

    Maneno ya busara sana,ongera
  5. K

    JamiiForums Tanzania Namshangaa huyu MBWA

    Labda jibwa la koko
  6. K

    JamiiForums Tanzania Who is your role model 2016-2017?

    MUHAMMAD S.A.W
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanayofanyiwa watuhumiwa wa ugaidi Segerea

    Wahalifu au washukiwa wa uhalifu?heading imewaukumu kabisa hao ni wahalifu, ebu kuweni makini.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe ndio ujumbe kwa serikali kuhusu ajira hasa za waalimu

    Andiko limetulia sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali haieleweki kabisa kuhusu ajira hasa za waalimu

    Umesema kweli,mm na mhanga mwenzako nimekuwa dereva wa daladala,inauma sana ndugu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa ulipuaji mabomu Arusha auawa na Polisi akijaribu kutoroka

    Polic wanajenga uhasama na raia kwa kufanya mauaji kwa kijana asiyekua na hatia,ipo cku tutalipa kisasi,pumzika kwa amani yahya(sensee)
  11. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 2 Oktoba 2014 - Matokeo ya Kupitisha Ibara za Rasimu ya Katiba

    kweli members ni 624,duuh jamaa nomaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    wariobaaaaa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuzuia baadhi ya mavazi CBE ni kinyume na haki za binadamu

    mwache atayalishe maadili kwa viongozi watarajiwa,safi sana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wanafunzi wa Diploma 2014|2015

    jina langu limetoka udom course special ya ualimu wa masomo ya sayansi diploma na tumeambiwa tuombe mkopo lkn heslb deadline ni sept10 wkt majina yametoka sept14
Back
Top Bottom