Recent content by King66

  1. King66

    Asilimia ya wanawake ambao wanakeketwa kwa nchi

    😄😄😂 Povu la nini.. kwan Uongo
  2. King66

    Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

    Huyu bwana uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sanaa.. Una 'copy na paste' kwenye jukwaa hili! Acha Upuuzi
  3. King66

    Msimu wa kilimo cha vuli ndio huu, serikali punguza bei ya mbegu za mahindi

    Mbegu gan hiyo? Kwa Msimu huu Dk imeanzia elfu 16 ya Tz.. ya Zambia elfu 20.. mambo ni 🔥 nadhani lengo lao tusilime kabisa.. kwa maana haiingii akilini bei kupanda kiasi hicho! Je, Msimu wenyewe ukifika bei itakuwaje?? Kama sasa ndivyo!
  4. King66

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umefanikiwa? Au bado haijafika kwa account
  5. King66

    Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

    Ila kwangu inafanya kazi vizuri sana ninapohitaji, Zinazo ingia ni SMS tu!
  6. King66

    Kuna option yoyote mtu unaweza kufanya kwenye simu ili mtu akikupigia unakua hupatikani but in reality unapatikana?

    Nenda Phone👉Juu Kulia Bonyez kile Kitufe cha Setting👉Ingia Harassment Filter👉 Switch On i) Block no. not in contacts ii) Block unknown contact.. Hebu jaribu hivyo... kama kuna hiyo options kwa Simu yako!
  7. King66

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Shauri yako, Watu wanachangamkia fursa wewe Umezubaa! Umebaki kusema fake!!
  8. King66

    Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

    Sio rahisi, hata wenyewe Iran watakuwa wamejizatiti vilivyo
  9. King66

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Upo kauzu sana ephen
Back
Top Bottom