Tumieni tishuMnatakiwa muwe na vitambaa hizi handkerchief special kwa ajili ya kazi hiyo, siwezi kumfuta mume wangu na kanga au mtandio halafu huo mtandio sitauvaa tena??
Lazima kama mwanamke awe na kanga maalum ya kulalia tu kwa wale wasiopenda kulala na nightdress na kipande cha kanga anatakiwa akifiche kinatumika pale bwana akitaka kula mzigo, anatandika chini kuzuia mbegu zisichafue shuka jazia hapo wewe kungwi feki.
