Recent content by King0001

  1. King0001

    JamiiForums Tanzania Video: Diaspora wa kinigeria aichambua Nigeria kama shit-hole country, amchana Trump na atoa fikira za mabadiliko

    Anatoa tafakuri ya 'shit-hole countries' akitumia Nchi yake ya Nigeria (anayoitambua zaidi) kama mfano. Kijana huyo asema Nigeria ni nchi iliyo na taratibu za hovyo (shit-hole country). Na ataja mambo yafuatayo yaliyopo Nigeria ambayo yanaifanya nchi hiyo kuwa shit-hole country: Nchi ambayo...
  2. King0001

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini imefutilia mbali mkutano ambao ungejadili kuhusu mashindano ya Olympics

    Duh! Nilikuwa nimemic habari za Kim.
  3. King0001

    JamiiForums Tanzania Mnaosoma Chuo msizarau hela ya boom ni kubwa sana hiyo

    Mkuu, pesa kitu cha ajabu sana. Yaani mtu kabla akiwa sekondari akisikia mwanachuo alipwa kiwango fulani kwa siku, aitamani kweli aipate na yeye na aona ni pesa kubwa. Ila huyo huyo akifika chuo na kupewa kile kiwango tena wakati mwingine kimeongezeka (mazagazaga ya stationery/field) adai...
  4. King0001

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia

    Mkuu, akiingia kichwa kichwa anaweza kuchezea cha mbavuni (KIBUTI) pia!:mad::oops:
  5. King0001

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia

    :D:p:) Naye mzungu akukodolea mijicho tena ayagonga kwenye macho yako direct halafu ukute ana yale macho flani ya kutisha (pichani) lazima uwe na hofu.
  6. King0001

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

    Mkuu umejitahidi sana, hongera zako. Nakushauri uwe wacheki samples za nje (Europe, US) kupitia internet kisha waziigilizia. Kiuhalisia ubora wa matarials utatofautiana lakini mvuto wa product zako machoni utakuwa ule ule (wa sample) kwa zaidi ya 85%. Pia jitahidi uwe watoa majina (reference)...
  7. King0001

    JamiiForums Tanzania Je, kweli Kikwete aliua Uchumi Tanzania? Data za World Bank (1988-2016) zategua kitendawili

    Nime-google hiyo kitu nimeiona, kwa faida ya JF links ni hizi: Heavily Indebted Poor Country (HIPC) Initiative https://webcache.googleusercontent.com/search?q=cache:371JIgJUKRoJ:https://www.imf.org/external/pubs/ft/scr/2006/cr06198.pdf+&cd=1&hl=en&ct=clnk&gl=se
  8. King0001

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanaofanya kazi zenye siri nzito

    Na hapo walimuhurumia, angepewa watoto awe anawasafisha baada ya kukata gogo. Wahindi kiboko kudadadeki!
  9. King0001

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya ugonjwa wa Chikungunya, ambao umetokea Mombasa Nchini Kenya

    Hata mimi pia...Ila nimecheki nimeona wazungu nao eti wanauita hivyo hivyo kana kwamba ni wa kwetu Waafrika!Symptoms, Diagnosis, & Treatment | Chikungunya virus | CDC
  10. King0001

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya ugonjwa wa Chikungunya, ambao umetokea Mombasa Nchini Kenya

    :eek::eek::eek:Yaani Mkuu umeziba mianya yote ya michango kinzani nawe
  11. King0001

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia

    :(:oops:o_O
  12. King0001

    JamiiForums Tanzania Kama kweli mkoloni apaswa kulaumiwa kwa umasikini wa Afrika, basi Liberia na Ethiopia zingekuwa "Developed countries"!

    Mkuu acha kututukania vitivo vyetu vya uhandisi na sayansi asilia:):p:D
  13. King0001

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti kumkonyeza mwanaume kwa jicho la kulia

    Kama picha hapo chini, halafu na kijimkono chapungwa huku vidole vikichezeshwa:):D:p
Back
Top Bottom