Nawawhukuru sana Nguruvi3, Mag3 na Jokakuu, nimepata shule ya muhimu sana. Kimsingi nimetambua kwamba wenzetu wapo mbali sana kwenye mambo mawili kwanza uwazi na clear processing za kila wafanyacho, yaani kuna miongozo kwenye kila jambo, kiasi inaonekana kabisa wapi pana kosa au wapi pana...