Hapo kujanja ni kwenda kufanyia intern sehemu ambapo huwa wanatoa pesa bila kutegemea mpk serikali itume pesa.wao kama hospital wanawalipa interns then wanasubiri serikal ikilipa wana replace
Sure. Kwanza mtoto kulia sana ni dalili ya infection,pia joto kupanda ni dalili ya infection na kwa siku hizo huwa tunaita ni early onset neonatal sepsis na matibabu ni kumu expose mtoto,i mean kumpunguza nguo mtoto ili joto lishuke na kumpa antibiotics kama alizosema mchangiaji hapo juu
Na...
Kuna stage nne au kitaalamu tunaita degree.1st degree mgonjwa atasema akimalizia haja kubwa inatoka damu ambapo hatakua na maumivu,hiyo damu anaweza iona wakati wa kujitawaza kwa kutumia tishu,or mara nyingine inatoka kwa wingi unaweza kuiona kwenye sink la choo but maumivu yanakua hayapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.