Recent content by king salaza

  1. king salaza

    Brother ananishawishi nitembee na Mkewe kabisa wa Ndoa

    Mbona hayo mambo niyakawaida sana tena hufanyika kimila huku kwetu. kwetu imekuwa hivi mashangazi ndio wachezeshaji humuita mwanamke nakumwambia kijana wetu tunahofu nae sasa jipendekeze kwa nduguze ambao niwadamu na mashangazi ndio watamchagulia. Then mwanamke sikuzake za hatari kwakila namna...
  2. king salaza

    Ni nini side effects ya vidonge vya water guard katika maji?

    zrhzrh3 ŕ rxxxede tggdg 4bn3nv g5g mkuu gģ
  3. king salaza

    NILIKULA MVUA ZA KUTOSHA CHUO...

    Duhh nikikijua chuo ulichosoma inaweza ikanisababishia dharua juu ya wahitimu wenzio naomba usikitaje.
  4. king salaza

    Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Wamkuu naomba unisaidie nini maana ya ndoto hii. Mara kwa mara nilikuwa naota ndoto nakemea wachawi / mapepo unakuta nimelala ninaota ndoto kunawatu wamezunguka kitanda changu au mara nyingine wamenikaba. basi huaza kuwakeme nanikiona wananishinda kiwanyoshea kiganja cha mkono hutoa moto naku...
  5. king salaza

    Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    naomba ni saidie kwa kirefu ni muda nina matatizo sana nimekua nasali ila siwezi kusali zaidi ya dakika 15 Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  6. king salaza

    Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    halo wakuu nimetoa kuna mtu kani jerui jeraha kubwa sana kichwani kiasi kwamba ninasubiri tu kufa sasa nikashituka wakatai nina daí bima yangu ya maisha ili Jamii yangu iweze fidiwa . ukweli nilipo shituka nilijikuta na maumivu makali sana kichwani nikasali sana nini maana yake
  7. king salaza

    Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni

    halo mkuu nimetoa kuna mtu kani jerui jeraha kubwa sana kichwani kiasi kwamba ninasubiri tu kufa sasa nikashituka wakatai nina daí bima yangu ya maisha ili Jamii yangu iweze fidiwa . ukweli nilipo shituka nilijikuta na maumivu makali sana kichwani nikasali sana nini maana yake
  8. king salaza

    1,500,000/= nashida na kiasi hicho cha fedha kama dharura narudisha ndani ya miezi sita(6)

    duuuh dharura ya miezi sita? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. king salaza

    Israeli Hawajawahi Shindwa!...?

    nashika nafasi kuwasubiri wachambuaji wa mambo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. king salaza

    Utajiri wa wachungaji Rwakatare, Gwajima, Mwingira na Mzee wa upako na uhalisia wa makanisa yao(Majengo ya kuabudia)

    kanisa ni mwili wako ulio ibeba rohoo na nafsi yako mengine hayo nima gofu tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. king salaza

    Manji hali tete

    duuuh wewe mwana Mama feiza sikuelewagi kama vile muda wote unastresss upo kisharishari yani mtu kukosea speling tu wewe unatusi elimu yake duu!!!. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. king salaza

    Ushuhuda wa kutisha kuhusu uchawi

    kwiliii ndio maana kuna miujiza kumbe ni wale waliokengeukaa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. king salaza

    Kwanini nimekua mtu wa kutokujali sana kwenye mahusiano na jamii yangu?

    kumbe tupo wengi nashukuru ila nitajitahidi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. king salaza

    Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

    ASANTE MSHANA JR KILA MARA UMEKUWA UKINIIMARISHA KIIMANI JAPO WAPO WANAO KUONA MLOZI NIKUTAKIE JUMAPILI NJEMA. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. king salaza

    Ukonga: Mwanamke mmoja atuhumiwa uchawi baada ya kuonekana akiwa katikati ya barabara amekalia ungo

    usanii huo hakuna cha mwanga hapo kunabiashara inatangazwa maisha magumu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom