Recent content by King Sae

  1. King Sae

    JamiiForums Tanzania EPZA Tanga wekeni ramani ya eneo lenu iwe public kuwasaidia watu kutotapeliwa

    Bongo usipokuwa makini utauziwa adi ikulu ya magogoni
  2. King Sae

    JamiiForums Tanzania Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu!

    Umaskini ni nusu ya ukafiri.....ona sasa tunavyokufuru
  3. King Sae

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ya umeme ilivyo Nigeria inatisha sana,by #shany!

    Nachotaka kujua hyo solar ni kampuni gani na watt ngapi? Lakini GDP ya uko na Tanzania ni tofauti mkuu
  4. King Sae

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Na nyie mmeliona hili kwa mabinti wa kuanzia 2000-2005?

    Swala la usafi au uchafu halina umri...
  5. King Sae

    JamiiForums Tanzania Unahisi mtu huyu aliweza kuishi baada ya kumaliza karibu kreti ya pepsi

    Umaskini bhn.... Elf 50 afu unaenda kutibiwa laki 1
  6. King Sae

    JamiiForums Tanzania Biblia na ukristo unanishngaza sana haueleweki.

    Watakwambia ume quote kafungu kadogo tu.... quote yote
  7. King Sae

    JamiiForums Tanzania Kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kazi chanzo ni marafiki

    Ujasema tatizo ni rafiki au wewe au ulihamishia mitambo ya kampuni nyumban kwako
  8. King Sae

    JamiiForums Tanzania Mboga za makaburini

    Kimfaacho mtu ni chake.... Kufa kufaana... Ukute ata nyumba yako umejenga juu ya makaburi ya mababu za mababu wa mababu wa watu wa enzi hizo.... Ila pasipo kujua unalala freshi maisha yanaenda
  9. King Sae

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Tuliosoma Course ya Mortuary Attendant hatupewi kazi, wanapewa ambao hawajasomea

    Tatizo kule ni mambo ya imani malipo utayakuta akhera....
  10. King Sae

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Tuliosoma Course ya Mortuary Attendant hatupewi kazi, wanapewa ambao hawajasomea

    Daaah nilitaka kusema mkajiajiri
  11. King Sae

    JamiiForums Tanzania Mtu asiejua kutumia computer ni Sawa na maiti inayotembea kwa karne hii

    Kipengere ukiwatumia document WhatsApp yenye mfumo wa pdf.... Anakwambia siioni kumbe anashindwa kuifungua
  12. King Sae

    JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii naona kama umasikini ni mkubwa sana kwetu

    Kama hana machawa.... Nampa pongezi sana kazi nzuri. Mana machawa ni waharibifu
Back
Top Bottom