Recent content by king of the North

  1. king of the North

    JamiiForums Tanzania Wakati wee uki-suffer eti vyuma Vimebana....

    Maneno ya watu wasio taka kupambana Na maisha.Tutafute pesaa.Tuache wivu
  2. king of the North

    JamiiForums Tanzania Dashboard ya Mitsubish Pajero inahitajika

    Ndio pajero hyo
  3. king of the North

    JamiiForums Tanzania Dashboard ya Mitsubish Pajero inahitajika

    Unayo mkuu?Nitumie contacts Yako pm.Nikutafute
  4. king of the North

    JamiiForums Tanzania Dashboard ya Mitsubish Pajero inahitajika

    Habari wakuu.Mwenye Dashboard au Mwenye Uwezo wa Kunisaidia Sehemu Nitaweza Kupata Dashboard Ya Mitsubish pajero.Zile Toleo ya Kwanza. BEI tutaelewana.
  5. king of the North

    JamiiForums Tanzania Muswada wa kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii Tanzania

    serikali Mbovu.Mipango Mibovu
  6. king of the North

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu TAMISEMI: Tueleze ni lini hizi ajira zinatangazwa au politics imeingia hapa?

    Malipo wanapata?Au ndo wanasubili kulipwa na Tamisemi.Pesa Ambayo Ishafanya Miradi Tofauti
  7. king of the North

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu TAMISEMI: Tueleze ni lini hizi ajira zinatangazwa au politics imeingia hapa?

    Wakuu habari Ikiwa imepita miezi miwili tangu Halmashauri zipewe kibali cha kuajiri WAHASIBU WASAIDIZI IDARA YA AFYA NA Halmashauri zikafanya Ivyo. Mpaka sasa HALMASHAURI AZIJAJUA AWA WAHUSIKA LINI WATA ANZA KUWAJIBIKA. Kupitia Jamii Forum,Tunakuomba Mh.katibu,Waziri husika tupe Hali Halisi...
  8. king of the North

    JamiiForums Tanzania Aliyekamatwa kwa makosa ya mtandao asafirishwa usiku wa manane bila Wakili kujua

    Pambana na Hali yako WAKILI.
  9. king of the North

    JamiiForums Tanzania Idara ya Maji Dodoma acheni kuongezea wateja wenu bill za maji

    Wakuu za Wakati Tena.. Nikiwa Natimiza Miezi 8 Tangu Nimeamia Makao Makuu ya Nchi (Dodoma),Nimebaini Kuna Hujuma katika usomaji wa Meter kwa Wateja wengi.Last Month Nilikatiwa maji,Sijarudisha Mpaka sasa ..Sasa Kinachoendelea Kutokea Ni kwamba Naendelea Kupokea Bili Kutoka Idara ya Maji Hapa...
  10. king of the North

    JamiiForums Tanzania Ajira za muda za udadisi takwimu NBS

    Nimesha anza kufanya Udadisi Tayari
  11. king of the North

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za mkataba serikalini

    wakuu Ebu fungukeni Hapo
  12. king of the North

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za mkataba serikalini

    wakuu Halmashauri zimeanza kufanyia kazi kwa waliopata Hizi Ajira?
Back
Top Bottom