Nafasi za kazi za mkataba serikalini

king of the North

Senior Member
Jul 26, 2016
102
55
Habari wakuu.
Serikali kupitia Halmashauri zake Tanzania Nzima imeajiri Wahasibu katika Vituo vya Afya kwa Mkataba.Hoja yangu kwa anaelewa Hii kitu ya mikataba ya serikali katika Kuajiri,Serikali itaweza pitisha hizi ajira zikawa ajira moja kwa moja.?Ama serikali Baada ya mkataba kuisha waweza kuto zifanya ajira Rasmi.

naomba Msaada kwa anae elewa HII Mikataba ya ajira za serikali.

Mfano wa Tangazo katika halmashauri za wahasbu wasaidizi ni hili Hapa.
mkataba.jpg
 
Hili ni jambo zuri, kama serikali kuu pamoja na idara zake zote zikiajiri kwa mkataba.
 
Hili ni jambo zuri, kama serikali kuu pamoja na idara zake zote zikiajiri kwa mkataba.
Serikali ikiajiri kwa mikataba Gharama Zitakuwa kubwa kwa Upande wake.Gharama za Kuendesha Interview Kila Mwaka Sio Ndogo
 
Niliona mahali kuwa hizo ajira zinafadhaliwa,zitakoma pale ufadhili utakapokoma
 
kuna jamaa angu amepata hizi kazi halmashauri ya Wilaya ya bariadi,anasema mkataba ni miaka mitatu
 
Back
Top Bottom