Hatimae Gerrard na Carragher wanabeba EPL yao.
Yaani wao wapo uwanjani wanapambana kumbe Man City wapo bize kuudanganya ulimwengu wa soccer kwa ushindi wa kiwizi wizi tu
Man United inazidi kupoteza nyenzo muhimu zilizowahi kuipa mafanikio Timu yao.
Alianza Howard Webb kustaafu
Sasa ni Antony Taylor
Ikumbukwe hawa Watu wana mchango mkubwa sana katika era ya Ferguson kumpa mafanikio now wanaondoka mmoja mmoja.
Ni huzuni
We are deeply saddened by the passing of the legendary Kevin Keegan and mourn his loss. His indomitable spirit and remarkable contribution will be forever etched in our history and his legacy will live on.
Rest in peace, Kevin. 1951-2026
#You'llNeverWalkAlone
Captain tulia kwanza huu uchambuzi utatuponza 😂
Nakumbuka Slot mulitamba sana na chambuzi za kiufundi kwenye mbinu za Kipara wakati alikuwa ni Muhuni tu 😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.