Recent content by king muhil

  1. king muhil

    JamiiForums Tanzania Ustadhi Paul Pogba atua Macca kwa ajili ya ibada tukufu ya Hijja!!

    Pale anapouweka utajiri wake pembeni na dinia inayopita..... Na hilo ndilo linalomtofautisha.... ...na hawakumbuki ila wenye akili (2:269)
  2. king muhil

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha: Tunamshikilia mmiliki wa shule ya Lucky Vicent, atapelekwa mahakamani

    How about police traffic wa zamu siku hiyo...au hapakua na traffic na kwa nini?
  3. king muhil

    JamiiForums Tanzania Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    Ndo dunia ya Western inavyotengeneza mambo kwa Sanaa na ufundi wa hali Juu....!!. Uislam kwa uwazi upo against their culture,ambapo pia matendo yao (westerners) mengi ni kinyume na Christianity ideology ulio ktk bible.... Christianis ni kama imeshaukubali mfumo huo na kuishi nao ingawa...
  4. king muhil

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa serikali kutovaa Niqab Ujerumani

    Siamini kama hill ndilo linatokea hasa kwa wale wenye kuvaa kwa kumaanisha..... hata katika nchi zetu wapo dada zetu wanaovaa kama fashion tu na sio kwa imani ya kujisitiri... Ama ni kulitia DOA tu vazi .. .
  5. king muhil

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa serikali kutovaa Niqab Ujerumani

    Mavazi yanayotunza utu,heshima na Hadhi ya mwanamke hayatakiwi...! Angalia sanamu au picha inayoambiwa ni bikira Maria,..angalia ma-sisters wanavyovaa ndani na nje ya maeneo yao ya ibada, kama alama ya heshima na unyenyekevu ambapo hao ndio role modal ya ki-imani kwa mabinti wanavyotakiwa...
  6. king muhil

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Misri apunguza uzani wa kilo zaidi ya 500 kwa kilo 250 nchini India

    Hongera kwa elimu nzuri..
  7. king muhil

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Historia ya manabii na mitume yenye ujumbe unaofanana wa kumuabudu mungu mmoja...
  8. king muhil

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Historia ya mitume na manabii yenye ujumbe unaofanana wa kumuabudu Mungu mmoja...
  9. king muhil

    JamiiForums Tanzania Visa vya wana wa israel (wayahudi) ndani ya Quran na yanayotokea leo..

    Tatizo waswahili hatupendi kusoma mambo mazito,kuchambua na hatimaye itusaidie kujenga hoja...
  10. king muhil

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya remote za king'amuzi cha Azam

    Ni kweli
Back
Top Bottom