Recent content by king mario

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wajua sana kutongoza

    Tumieni macho
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nataka Computer used kwa anaeuza!

    Poa janja and thanks kwa msaada wako
  3. K

    JamiiForums Tanzania Anayeuza PC kwa December katikati

    Mkubwa nimefatilia link yao and nimeilewa ila nimejaribu kukujibu inbox ila sina uhakika kama umeipata! sasa vp kuhusu upataji wake ukiwa mikoani, me nipo morogoro
  4. K

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Huyu hawezi kuchaguliwa moja kwa moja ispokuwa kwa alama alizonazo zinaweza kumfanya aende chuo chochote cha ufundi kwa njia ya kuomba (application) hivo inabidi awahi kutuma maombi ktk vyuo avipendavyo na ata vile asivyovipenda ili kama atakosa ila akapata huko sio mbaya akaenda kusoma...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nataka Computer used kwa anaeuza!

    Weka specification zake na picha bila kusahau bei ili tufanye biashara
  6. K

    JamiiForums Tanzania Computer aina gani ni nzuri?

    Una hiyo CPU tu, au iko complete?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Anayeuza PC kwa December katikati

    Unauza bei gani mkubwa?
  8. K

    JamiiForums Tanzania I feel played

    airtel yatosha.
  9. K

    JamiiForums Tanzania I feel played

    Air tel.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kitu kama kujifunza kumpenda mtu?

    We we utakuwa una jinsia mbili aliekwambia wanawake hawapendi nani? Na huyo unaemshauli amesema alishawahi Kuwa na mahusiano na wavulana wengine so it means aliwapenda that's why alikuwa nao!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Babe unaweza kuniletea popcorn

    Vitu vidogo vidogo kama hivyo vinataka mtu ambae teyali ameshajikwamua kimaisha na sio yule ambae anatafuta njia ya kujikwamua! Mtu mwenye malengo razima atajitoa ktk mahusiano taraatibu, kuna faida gani ya kula popcorn,ice cream, kuchek movie alafu mkimaliza mnapanga foleni kugombania dala...
  12. K

    JamiiForums Tanzania I feel played

    Tafuta rafiki wa kiume ambae unajua hawez kuvuka mipaka ktk ulafiki wenu then anza kuwa nae karibu, chat nae, tembea nae and sometimes make sure mpenz wako anakuona, akiuliza we mwambie jamaa ni rafiki yako tu, akizidi kuhoji mwambie huwa unakuwa nae karibu huyo kijana pindi unapo mmiss ili...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Huwa najisikia vibaya mpezi kuitwa majina haya...

    Hiyo inategemea unaishi mazingila gani, kama unaishi uswazi huwezi kushangaa, au kama unaishi maeneo ya kanisa hapo sawa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kitoto huu

    Weka picha
Back
Top Bottom