Computer aina gani ni nzuri?

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
4,728
5,445
Nataka kununua "used desktop computer", ila sina utaalamu wa kujua computer aina gani ni nzuri.

Hivyo naomba msaada ninunue aina gani pamoja na 'specifications' zake na je, zinapatikana wapi kwa hapa Dar?

Bila kusahau bei zake tafadhali.
 
inategemea na matumizi.. Unahitaji P.c kwaajili ya matumizi gani? Nyumban, Ofisini au?
 
Inategemea na kazi unayotaka kufanya nayo, brands nzuri ni pamoja na HP au DELL, kwa pc used nyingi zinaanza na 190000 mpaka 350000 inategemea na ukubwa wa processor, RAM na HARD DISC DRIVE. Sema una sh ngapi nikutafutie nzuri.
 
Asante Ndugu Fadhili kwa ushauri wako. Natafuta kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, kwa ajili ya wanangu wako shule ya msingi. Bei isizidi laki 2
 
Mkuu,
Nimeona niendelee kukujibu hapa hapa hadharani ili na wengine waweze ku-take chance. Nimepata:
DELL OPTIPLEX GX240 ina:-
Processor: 1.8 GHz Intel Pentium 4
RAM: 512 MB
HDD: 40 GB
Inasoma DVD na CD, ina burn CD tu.
Screen/Monitor: Flat screen 17''

Bei ni laki 2 kamili na inahusisha technical support muda wote. Kwa matumizi ya kawaida yasiyohusisha games inatosha kwa wanafunzi wa primary.
Ukiipenda njoo PM, usipoipenda wanajamvi wapo hapa kuendelea kukusaidia

Asante Ndugu Fadhili kwa ushauri wako. Natafuta kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, kwa ajili ya wanangu wako shule ya msingi. Bei isizidi laki 2
 
Asante Ndugu Fadhili kwa ushauri wako. Natafuta kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, kwa ajili ya wanangu wako shule ya msingi. Bei isizidi laki 2

Kaka pc za laki 2 hazina afya bora uongeze mshiko hadi 350K utapa:-
duo +flat.jpg
Dell Optiplex 745(Tower)
- intel core 2 duo 1.86 GHz processor
-1GB or 2GB of RAM
-HDD 160gb
-Flat screen 19"
DVD-RW
 
Back
Top Bottom