Recent content by king leopard

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni nini kinaifanya hii shule ya sheria pale mawasiliano kuwa ngumu sana?

    Si kweli. Kuna utofauti mkubwa sana kati ya law school na vyuo vinavyofundisha sheria, hii ndiyo hupelekea wanafunzi wengi wanaojiunga na law school kupata ugumu. Nb. Ukitaka maelezo zaid na namna ya kufaulu nitafute
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya adaiwa kumshambulia Diwani wa Sombetini Arusha

    Siku zake zinahesabika
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kabaka! Anataka nimwepushe na miaka 30

    Hapo hakuna rape mkuu is very difficult to prove rape basing on circumstantial evidence
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Madiwani wa CHADEMA waliohamia CCM ,wapukutishwa Arusha

    Wajumbe kama wajumbe😃😃😃 Takribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga ccm kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe. Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba wenye ccm yao wapo na sio wahamiaji kama walivyopigwa mweleka kwenye kura...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Tuliowahi kuachwa na mabasi wakati wa safari

    Niliwai kuachwa na BM ya Arusha-Moro, nakumbuka iyosiku nimeamka mapema kabisa nikawai kituo flani ivi kinaitwa maji ya chai (Wakazi wa Arusha wanakijua) Maraa paap naona ngoma inakatiza mbele yangu kama upepo nikadandia bodaboda nimeikimbiza karibia boma ng'ombe
  6. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

    Jifanye huna akili soon utapata unachotafuta
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hiki ndo kinachosababisha usiolewe mpaka leo

    Kwakweli God is good maana umemaliza kila kitu QUOTE="Gluk, post: 34124705, member: 424046"] Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

    Jifunze kunyenyekea Mume hanuniwi, atakama anamakosa lakini next time jishushe hutapungukiwa kitu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nimeanza mwaka vibaya, nimekutana na jambo la ajabu wakati wa ku-sex

    😂😂😂😂 QUOTE="leloic, post: 34022408, member: 135001"] Umenikumbusha skumoja nlijichanganya kijiwe cha kahawa kuonjaaa tu ikabidi niombe sukari
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya aolewa kimya kimya

    Mnawaza mbali😂😂😂
  11. K

    JamiiForums Tanzania Fikiria Sumaye angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Ame prove failure
Back
Top Bottom