Recent content by king Kong master

  1. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nilitegemea hivyo pia...amuanzishe kabak na fabinho then hendo arudi kiungo chake..lakin ndio hivyo kocha ndio mwenye maamuzi..
  2. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Tuwakomoe kwa points tano mlizotuzidi?kuwa na adabu...kwahiyo unajiamin kabisa utamaliza juu yngu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wengi hatuifahamu Chato kumbe, tunaponda tu! Makusanyo ya zaidi ya bilioni 40 si mji mchache!

    Wewe ndio huijui chato..hizo billion 40 kwa vyanzo vipi?usikaririshwe tu..
  4. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Allison aisee......makosa yapo ktk soka
  5. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Allison,Trent,fabinho,hendo,Robertson Curtis,thiago,gin Mane,Bob,salah
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Felister Njau: Tulikamata mabegi matano ya kura za CCM ktk Uchaguzi Mkuu 2020

    Hivi kumbe bunge limeanza?aisee
  7. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Vipi mzeee hayo mavi ulokunya yatakuwa yameshakauka muda huu?nataka niyaone..teh teh teh
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tazama hali ya Darasa la Shule ya Msingi Bushekya iliyopo Halmashauri ya Muleba

    Ni matumaini wahusika wataifanyia kazi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huu ukimya unaashiria nini kwa Wapinzani hapa nchini?

    Kuna hata siku moja ulilaani uovu na unyama uliofanyika ktk uchaguzi mkuu ulopita?tuanzie hapo kwanza
  10. K

    JamiiForums Tanzania Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

    Hahahaha dish 100 aisee kweli umeichoka TBC yetu pendwa..embu sema tatizo nini?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Alimuua nani?wataje au kama vipi kaa kimya...HUJUI HATA UNAONGEA NINI,
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Kura yangu kwa MAGUFULI...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Uchaguzi uliopita umetuacha uchi kama Taifa. Watanzania wamekata tamaa kwa Siasa zinazoendelea Nchini

    Pole mbatia.....mwana kulitaka mwana kulipata
Back
Top Bottom